Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Wewe Tanzania hata upapambe vipi lakini ni takataka tu Kwa nchi yeyote ya Europe
Mkuu punguza tamaa na usiwapangie watu nini wafanye

Kama unateseka sana na hilo tafuta hela nenda huko Ulaya ambako wanaume wenzako wamepajenga
 
Una
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba ila najua Kuna masikini watakuja kuniambia nitafute pesa jamani Mimi pesa sijazipoteza ninazo
Unaenda kuishi Ulaya unakuwa mpweke
 
Wanaishi MASAKI, Chole Road, wanapata upepo wa Bahari, wanakula hoteli 5-Star na wanapita kwenye lami na usalama wa hali ya juu.
Hawajui Kinondoni wala magomeni, sana sana kwenda uswahilini ni wakati wanatoka na kwenda Airport.
Ofisi zipo Golden Jubilee, mavumbi unayaona wewe wa VMbezi msakuzi kwa Manguu muuza kiti moto.

Uhamiaji wana maombi kibao wazungu wanaomba kuishi Tanzania.
 
Yaani bado hujasema na utasema tuuuuuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tajiri christopher paul ulietoka ulaya, unahangaishwa hata na wadada wa mtaani kwako, wanakuzungusha sababu wanajua wewe ni msaanii na kapuku wa kiwango cha lami, unashinda kwenye vijiwe vya kubeti kuanzia asubuhi hadi usiku, huna maisha, unavuta bangi unajiona kua uko ulaya mara una hela, na zaidi nani anataka kulea mgonnjwa wa ukimwi unasingizia vidonda vya tumbo..
 
Tafuta hela umasikini unakusumbua
 
Kuna watu wabishi duniani. Wachangiaji karibu wote wako against lakini mtu kakomaa kubishana nao mixer kuwatukana. Aisee!!
 
Bongo ni pazuri sana ukiwa na pesa Jombaa usifanye mchezo. Hapa maisha ni matamu sana sana sana sana narudia tena maisha ni matamu.

Nchi za dunia ya kwanza zinawafaa sana watu masikini kwa ssb ya ubora kiwango cha maisha kwa matabaka yote ya watu ukilinganishana na kwetu. Pia wingi wa uwepo wa fursa za kuingiza kipato kwa watu wa chini.
 
Inaonekana kiongozi haujatembelea pande zozote za kuburudisha mwili na akili. Hapa hapa daresalama watu wanaishi maisha unayoyaona kwenye movies za hollywood na dubenga.
Ungelibahatika kufika kwenye mansion za kina zayed nafikiri usingeleta hilo bandiko lako la makasiriko na njaa kali.

Hallelujah!!!
 
Umesoma chuo gani, mbona akili nyingi sana?🫡
 
Inaonekana kiongozi haujatembelea pande zozote za kuburudisha mwili na akili. Hapa hapa daresalama watu wanaishi maisha unayoyaona kwenye movies za hollywood na dubenga.
Ungelibahatika kufika kwenye mansion za kina zayed nafikiri usingeleta hilo bandiko lako la makasiriko na njaa kali.

Hallelujah!!!
Kuna chimbo zipo kigamboni oyaa, ukienda huko ulaya hutaman hata kupasikia. Kuna hotel niliend na mshangazi flani kiingilio tu ni balaa 😄
 
Back
Top Bottom