Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #201
Nionyeshe kiasi kama hicho Ili tuendelee kubishana maana kubishana na masikini ni kupoteza mdaI rest my case. Pumzika kwa amani marehemu mtarajiwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nionyeshe kiasi kama hicho Ili tuendelee kubishana maana kubishana na masikini ni kupoteza mdaI rest my case. Pumzika kwa amani marehemu mtarajiwa.
Mo na Bakhressa wameamua kukaa hapa nchini kwa kuwa soko za bidhaa zao lipo hapa nchini. Huko Ulaya na Marekani ni nani utaamuzia Azam embe na ukwaju? Huko unakowashauri waende hakuna maskini watakaowatumia kupiga pesa. Ngoja wakae hapahapa umaskinini wapige pesa mkuu.Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba ila najua Kuna masikini watakuja kuniambia nitafute pesa jamani Mimi pesa sijazipoteza ninazo
Wewe umeongea fact sio hapa wengine wanapiga kelele tu k kwenye Uzi wangu kisa ugumu wao wa maishaMo na Bakhressa wameamua kukaa hapa nchini kwa kuwa soko za bidhaa zao zzipo hapa nchini. Huko Ulaya na Marekani ni nani utaamuzia Azam embe na ukwaju? Huko unakowashauri waende hakuna maskini watakaowatumia kuoiga pesa. Ngoja wakae hapahapa umaskinini wapige pesa.
Je nao wanaishi uswazi kama wengine? Kuna watu wapo Tanzania hii lakini wanaishi maisha kama ya Ulaya. Ni mtazamo tuHivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba ila najua Kuna masikini watakuja kuniambia nitafute pesa jamani Mimi pesa sijazipoteza ninazo
Akili hunaUkiwa huna akili utaridhika na ulicho nacho lakini wenye ability na magenius hawaridhiki kama wewe kilaza, lazima waendelee kutengeneza pesa zaidi na zaid kwahyo hawawez ondoka sehemu ambayo assets zao na investments zao zilipo kwaajili ya usimamizi lakini pia waki relax wanaweza kukutwa na downfall economically jambo ambalo hawawez kukubali kwahyo lazma wa concentrate
wewe akili yako ndo fupi broo watu wako siliaz ww kama hauko siliaz keep it up,na by the way unaweza tafta na ww zako alafu uende huko unaenjoy ila syo kuwaona kama vile washamba number wewe ndo akili yako ndo ikon na shida💀Akili huna
Akili huna wewe na umejaa umasikiniwewe akili yako ndo fupi broo watu wako siliaz ww kama hauko siliaz keep it up,na by the way unaweza tafta na ww zako alafu uende huko unaenjoy ila syo kuwaona kama vile washamba number wewe ndo akili yako ndo ikon na shida💀
😂 mi syo masikini bro coz ata haunijui ila wewe mawazo yako yameshaonesha dalili za umasikiniAkili huna wewe na umejaa umasikini
Halafu unaonekana masikini sana😂 mi syo masikini bro coz ata haunijui ila wewe mawazo yako yameshaonesha dalili za umasikini
Ushaishiwa ww huna laziada😂 kama mi masikin nipe namba yako inayopokea pesa ila haita kua free kabisa itatakiwa niku P Diddy (nikunyandue ) ili nikuithibitishie kua mm syo maskini ila ni shida zako na njaa zakoHalafu unaonekana masikini sana
Huku Tanzania ndiko wanakoweza kupata michongo ya kuongeza pesa.Ridhiki washapata ni ujinga kuendelea kuishi nchi inayonuka wakati unamipesa ambayo unakula mpaka kifo
Pamoja Sana wewe una akili ila wengine wanaandika pumbaHuku Tanzania ndiko wanakoweza kupata michongo ya kuongeza pesa.
Na utajiri wao una nguvu hapa bongo, wakienda huku mbele wataishi maisha magumu kwani nguvu yao kiuchumi huko ni ndogo.
Pamoja sana umeandika pointiInategemea na walaji wa huduma wanazozitoa wanatoka wapi, inawezekana wakiondoka watapoteza mauzo n.k wengine wameweza kuishi huko kwingine kwa sababu walaji wa huduma zao wanapatikana kila kona ya dunia n.k
Acha uongo ridhiki hatoi yesuYESU KAWAPA RIDHIKI ZAO ZIPATIKANE TANZANIA WAENDE WAPI SASA ULIPO UGALI NA MBOGA INATAKIWA IWEPO HAPO HAPO
Mkuu ulichoongea ni ukweli mtupu kuna watu bongo wanaishi vzuri sana huwezi dhania nikama ulaya tu mchawi pesa yako tuSiku ukijua kwamba Tanzania ni nchi nzuri sana kuishi ukiwa na hela kuliko ukiwa kapuku ndio utaelewa kwanini matajiri wengi hawatoki kwenda Ulaya japo wamewekeza huko Ulaya.
Bongo ukiwa na hela kidogo tu nchi itakutambua na wewe kila sehemu utakuwa unapewa VIP treatment. Sio hospitalini, sio bank wala sehemu yoyote ya starehe ama mahotelini. Kero za mamlaka za serikali pia utaishia kuzisikia kwenye vyombo vya habari tu.
Bongo kuna peace of mind sana kama unamiliki utajiri hata wa kawaida tu ila ukawa una affiliates kwenye system ya serikali. Hakuna jambo lako litakwama na msaada ni wa haraka sana ukihitaji.
Kwa masikini bongo ni jehanamu kwa sababu hayo yote niliyoyaandika yatakuwa kinyume chake 🤣🤣🤣! Kwa mtu maskini bongo ndio anapaswa afungashe virago akimbilie ulaya haraka iwezekanavyo.
Watu wanaishi kama wako beverly hills hapa bongo. Hamna bugudha kabisa we tembelea Mbweni kule uone mji ulivyopangwa na mijengo ni ya hatari🤣. Uko na full koba utatamani vipi kwenda ulaya?Mkuu ulichoongea ni ukweli mtupu kuna watu bongo wanaishi vzuri sana huwezi dhania nikama ulaya tu mchawi pesa yako tu
Toddler: 1-3 yearsNdio umri umeenda kuanzia miaka 45 kwenda mbele wewe ni mzee na huo ndio ukweli