1. Ni wewe na akili zako za kimasikini ndo unaona wametoboa. Huenda wao pia hawapati usingizi, wakikazania watoboe. Viwango vya kutoboa ni tofauti kwa kila mtu.
2. Chukulia scenario hii: kwenda kuishi sehemu ambayo watu wengi wana uchumi kama wako au kuishi sehemu ambayo umewazidi uchumi kwa kiasi kikubwa. Wapi utaheshimika zaidi? Wapi utapata fursa nyingi zaidi? Wapi utafurahia maisha zaidi,?
3. Chini ya jua la bongo hii hii kuna sehemu hazinuki, kuna sehemu hazina joto wala bardi kupindukia na unaweza pata hitaji lolote la moyo wako