Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Akili Yako haipo sawa yaani Tanzania ni nchi nzuri jaribu kutembea kidogo nchi za Europe au American utakuja kufuta huu utumbo wako na utajilaumu sana hujatembea wewe
 
Ukiwa na pesa hakuna mahali pazuri pa kuishi kama Tanzania! Hutaweza kutambua hili hadi uwe umeishi huko Ulaya kwa muda kidogo.
 
Mo umri umeenda??
 
1. Ni wewe na akili zako za kimasikini ndo unaona wametoboa. Huenda wao pia hawapati usingizi, wakikazania watoboe. Viwango vya kutoboa ni tofauti kwa kila mtu.
2. Chukulia scenario hii: kwenda kuishi sehemu ambayo watu wengi wana uchumi kama wako au kuishi sehemu ambayo umewazidi uchumi kwa kiasi kikubwa. Wapi utaheshimika zaidi? Wapi utapata fursa nyingi zaidi? Wapi utafurahia maisha zaidi,?
3. Chini ya jua la bongo hii hii kuna sehemu hazinuki, kuna sehemu hazina joto wala bardi kupindukia na unaweza pata hitaji lolote la moyo wako
 
Kutoboa ni kiwango Gani kama wao bado hawajatoboa na Kwa umri huo waliokua nao
 
Hizi ndo AKILI za MTU mweusi anawaza ku-spend badala ya ku-earn more.

Ungesema wawekeze ulaya hapo you could make sense.

Sometimes umasikini ni Kama laana unakufanya uone wenzako wanye pesa wanakosea kuishi.

If you know nothing you can speak and write nothing.
 
Limbukeni wewe.
 
Wewe kweli hujielewi usipo waza kuspend utawaza nini si kinachofuata ni kifo au unadhani utaishi milele kwenye hii dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…