Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Nawashangaa Mo na Bakhresa kuendelea kuishi Tanzania

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi Tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kudhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganIsha na klabu za Ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba ila najua Kuna masikini watakuja kuniambia nitafute pesa jamani Mimi pesa sijazipoteza ninazo
 
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kuadhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Tatizo lako unaishi uswahilini na unadhani nchi nzima ipo km kulivyo uswahilini, wenzako wanaishi masaki a.k.a uzunguni barabara zote zina lami maji na umeme havikatiki kwa masaa 24
 
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kuadhamini vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Ungejaliwa kutembea ndio ungejua uzuri wa Tanzania 🇹🇿 ♥
 
Hivi Kwa utajiri wa Hawa jamaa wanawezaje kuishi tanzania yaani mipesa kibao na umri umeshaenda baada watafute sehemu ya kuishi American au Europe wao kila siku wanakula vumbi la Tanzania na kuadhamink vitimu vya mpira ambavyo havitakuja kuwa na ukubwa wowote kulinganusha na klabu za ulaya mpaka dunia inaisha nchi inayonuka kweli unaweza kuwa na mabilioni ya pesa ila ukawa mshamba
Siku ukijua kwamba Tanzania ni nchi nzuri sana kuishi ukiwa na hela kuliko ukiwa kapuku ndio utaelewa kwanini matajiri wengi hawatoki kwenda Ulaya japo wamewekeza huko Ulaya.

Bongo ukiwa na hela kidogo tu nchi itakutambua na wewe kila sehemu utakuwa unapewa VIP treatment. Sio hospitalini, sio bank wala sehemu yoyote ya starehe ama mahotelini. Kero za mamlaka za serikali pia utaishia kuzisikia kwenye vyombo vya habari tu.

Bongo kuna peace of mind sana kama unamiliki utajiri hata wa kawaida tu ila ukawa una affiliates kwenye system ya serikali. Hakuna jambo lako litakwama na msaada ni wa haraka sana ukihitaji.

Kwa masikini bongo ni jehanamu kwa sababu hayo yote niliyoyaandika yatakuwa kinyume chake 🤣🤣🤣! Kwa mtu maskini bongo ndio anapaswa afungashe virago akimbilie ulaya haraka iwezekanavyo.
 
Bakhressa amewekeza nchi mbalimbali nje na ndani

Mo -na yeye the same na sasa hivi muda mwingi anakuwa Dubai.

Tatizo sio kukaa Tanzania au wapi Ila ni kuangalia investments zako zinaendaje .

Utajiri Mara nyingi huwa unawapata watu amabao hawakurupuki

Then tunavyowaona watu mitandaoni nadhani tunawajua Kama 5% tu .

Mambo mengi ya siri yameekwa private.

Kuna siku nilipanda boti ya Bakhressa na kukaa Karibu yake Ila sikumjua wala hata watu hawamjui.

Nilikuja kuwmbiwa na jamaa mmoja huyo mzee ndo bakressa.
Bakhresa unashindwaje kumjua wewe itakua unaishi porini sana
 
Back
Top Bottom