PreGE2025 Nawashauri Viongozi na Watu hawa wafuatao wakachukue fomu za kugombea Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yaani uandae sherehe wewe halafu ujipe kadi ya mwaliko?

Akili za hovyo sana.

Hakuna uchaguzi, hayo ni maigizo .

Uchaguzi wa tume inayoteuliwa na mwenyekiti wa CCM na wateuliwa ni makada wenye kadi za kijani?
 
Yaani uandae sherehe wewe halafu ujipe kadi ya mwaliko?

Akili za hovyo sana.

Hakuna uchaguzi, hayo ni maigizo .

Uchaguzi wa tume inayoteuliwa na mwenyekiti wa CCM na wateuliwa ni makada wenye kadi za kijani?
View attachment 3299567
Kwani lissu Aliposhinda ubunge 2010 na 2015 alikuwa anatangazwa na tume ipi ya uchaguzi?
 
Hivi hii ndio kazi inayokulisha, hamna ingine?
 
Serikali iliagiza walioko serikalini wanaotaka kugombea watoe notisi mapema ili Raisi ateue wengine mapema wa kushika nafasi zao

Kama hadi sasa hawatoa notisi uwezekano wa kugombea haupo
 
st
stupid
 
Kwa kulamba viatu upo vizuri
 
Lucas acha tabia ya uchawa na kujipendekeza kwa wanaume wenzio!
Unachotakiwa kufanya ni kujiamini na kujipendekeza kwanza wewe!
Wewe ulizaliwa kubeba wenzio badala ya kujibeba? tabia za kimama kweli hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…