Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Uchaguzi utafanyika na hakuna wa kuuzuia . Maana upo kisheria na kikatiba.Kwani wewe nguo uliyovaa 2010 bado unaivaa hadi sasa kunguni wa mama
View attachment 3300041
?
Unaelewa dhana ya kubadilika ni kukua ,tume ni ile ile ila ushenzi wa 2010 sio sawa na ushenzi wa 2019,2020 na 2024 hivyo imeonelewa reform sasa zifanyike kudhibiti uhuni huu usijirudie.