Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #61
Uchaguzi utafanyika na hakuna wa kuuzuia . Maana upo kisheria na kikatiba.Kwani wewe nguo uliyovaa 2010 bado unaivaa hadi sasa kunguni wa mama
View attachment 3300041
?
Unaelewa dhana ya kubadilika ni kukua ,tume ni ile ile ila ushenzi wa 2010 sio sawa na ushenzi wa 2019,2020 na 2024 hivyo imeonelewa reform sasa zifanyike kudhibiti uhuni huu usijirudie.
Kwa tume hii ya makada wa CCM wanaoteuliwa na mwenyekiti wa CCM?Uchaguzi utafanyika na hakuna wa kuuzuia . Maana upo kisheria na kikatiba.
CCM tunasonga mbele tuKwa tume hii ya makada wa CCM wanaoteuliwa na mwenyekiti wa CCM?
Basi CCM mshiriki na vile vyama ambayo ni matawi yenu.
Mbele kwa kuiba kura?CCM tunasonga mbele tu
Sasa kama hazinyeshi muda wote nini kimekuzuia kwenda shamba leo ukabaki humu unapiga domo?Kwani umeambiwa wapi kuwa zinashindia zinanyesha Muda wote.
Wewe ni nani hadi unipangie ratiba za kwenda shambani kwangu ๐๐Sasa kama hazinyeshi muda wote nini kimekuzuia kwenda shamba leo ukabaki humu unapiga domo?
Ach uvivu kijanal imeandikwal utakuj kwa jasho siyo kwa mudomo, utakula na vingine sasa๐Wewe ni nani hadi unipangie ratiba za kwenda shambani kwangu ๐๐
Sasa nani kakwambia nakula kwa mrija. Mimi nakula kwa mdomo baada ya kuwa nimefanya kazi kwa mikono.๐๐Ach uvivu kijanal imeandikwal utakuj kwa jasho siyo kwa mudomo, utakula na vingine sasa๐
Unakula kwa aibu baada ya kua umefanya kazi ya mdomo๐Sasa nani kakwambia nakula kwa mrija. Mimi nakula kwa mdomo baada ya kuwa nimefanya kazi kwa mikono.๐๐
Nakula kwa mikono yangu mwenyeweUnakula kwa aibu baada ya kua umefanya kazi ya mdomo๐
๐ Nakubali Mkuu, jimbo gan unawania tuje tukupe support?Nakula kwa mikono yangu mwenyewe