Nimeshuhudia mechi 2 ambazo Simba kacheza dhidi ya Azam na Dodoma Jiji, wamenufaika na waamuzi ambao uwezi kusema kwamba awajui Sheria na kanuni zinazoongoza Mpira la hasha ni kwamba wanajua isipokuwa Kuna fungu linawekwa kwa ajili yao ili waibebe Simba!
Aiwezekani kwenye mechi zao tu ndio ziwe na makandokando ya magoli ya utata Kila mara, makocha wa timu pinzani wanalalamika juu ya upuuzi wa waamuzi wanaochezesha mechi za Simba, alianza kocha wa Azam sasa amefata kocha wa Dodoma Jiji!
Tunajua wanalazimisha ushindi kwa Kila njia ya haramu ili kuwatuliza mashabiki wao lakini wakae wakijua ayana muda ayo maji na mafuta yatajitenga kipindi sio kirefu!
Yanga anapata ushindi wake kwa jasho na damu na kwa halali ndio maana Kila timu inakuja kujitoa mhanga kuwazuia!
Yanga ameamua kuwekeza kwenye pitch na sio kuwekeza kwa marefa!
Na wao wakiamua kuwekeza kwa marefa tutashuhudia timu nyingi sana zikiumia kwa sababu awashindwi kufanya icho wanachofanya Simba!
Mo ameanza ule mchezo wake mchafu wa kipindi kile sasa na gsm akiamua kuanza yeye atatupa taulo mapema sana maana ni bahili akiweka milioni Moja mwenzake ataweka Tano na hapo ndipo utakuwa mwisho wake wa kuhonga waamuzi!
Pamoja na ayo nawashauri YANGA waendelee kuwekeza kwenye pitch kwa sababu wanayo timu Bora inayoweza kufanya chochote na popote pale pasipokutegemea mbeleko za waamuzi!
Simshauri gsm kuingia kulipa kisasi kwenye hili jambo kwasababu litazidi kuuharibu Mpira wa Tanzania ambao tulikuwa tunapiga hatua kwenda mbele!
Wao wawaache tu waendelee kubebwa lakini icho ndicho kitanzi chao wanajinyonga wenyewe mdogo mdogo bila kujua!
Chonde chonde narudia Tena viongozi wa yanga msiingie msituni kufanya kile wanachokifanya wenzenu muwaache na ujinga wao jibu watakuja kulipata siku sio nyingi!