Nawashukuru sana Ndugu zangu na Rafiki zangu...

Nawashukuru sana Ndugu zangu na Rafiki zangu...

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,493
Reaction score
18,387
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu
Kwa Neema tele anazotukirimia kila uchwao,

Ni kwa mapenzi yake tu, ndiyo maana tungali hai hadi sasa!
Ndugu zangu nawashukuru sana kwa pongezi zenu mlizonipa siku ya jana
Nilipotimiza miaka kadhaa katika Ulimwengu huu uliojaa mambo kibao..

Nakushukuru sana Mpendwa wangu shansarie kwa jinsi unavyojali na kuheshimu
Mapenzi yetu, ni mara nyingi sana Umesimama kwa ajili yangu na kunipa faraja kubwa..
kwenye shida na kuona kama Tatizo langu ni lako,
Nashukuru sana na Mungu akubariki zaidi na zaidi!

Wakuu katika haya Maisha changamoto ni nyingi sana
Na ukiona Mungu kakuvusha mwaka hadi mwaka ungali mzima ukivuta hewa ya bure,
Inapaswa umshukuru,
Pamoja na wale wanaokuzunguka wema na wabaya!!!!

Kuna mtu ambaye pia sitamsahau katika Maisha yangu,
Kwani yeye ndiye aliyeniwezesha kufika hapa nilipo
Kwa mafanikio kidogo niliyoyapata na nitazidi kufanikiwa..
..its my Grandma(Matemu)r.i.p
She was and she will always be
my hero!! a genius bibi....
Nitakukumbuka daima milele and i'll see you again there!!
Njia yetu ni moja!!

Pia najiona mwenye furaha kubwa kuwa mmoja wa member wa JF.
Thank for Ur Wishers and may God bless you all


Few to mention,

Bishanga,tabia ya kumzengea shansarie uache mara moja..
bro. Arushaone,
mzee wa protocol watu8,
mwenyekiti Baba V
best yangu Passion Lady,
shemeji Lady doctor!!
pia King'asti, mimisa, Arabela,
jirani yangu wa ukweli marejesho,
buddy wangu wa nguvu MMAHE, tedo, MANI

My inlaw Chocs and mmewe Erickb52!!
mkuu Kaizer, Katavi, EMT nimejifunza sana kwako baadhi ya mambo!! Evelyn Salt, Filipo Paloma and sosoliso


Babe wa ukweli Smile..
Mkubwa THE BIG SHOW..Haitokiiii!! Queen Kan, Mrembo by Nature
charminglady, ladyfurahia, Angel Nylon
Ruttashobolwa mume ya Passion Lady
My big mama Mamndenyi..
Mkuu Sizinga na wengine woote!


Nawashukuru sana!
Na nyie pia muwe na maisha marefu ya furaha na yenye mafanikio tele tele..
 
Last edited by a moderator:
Wooow thank alots kiwatengu nimefurahi.. Mungu akupe umri mrefu wenye mafanikio
 
Last edited by a moderator:
Asante sana jirani wa ukweli kwa kushukuru....
Be blessed.
 
Mungu akujalie urefu kama sm. 190 zinakutosha kwa maisha haya.
 
Asante sana kwa kurudisha shukran kwetu shemeji yangu, Mungu akupe baraka naneema tele maishani mwako

pamoja daima!!!!!!!!!!
 
Asante sana kwa kurudisha shukran kwetu shemeji yangu, Mungu akupe baraka naneema tele maishani mwako

pamoja daima!!!!!!!!!!

Pamoja!!
Pole naona ndoa yako
Imeanza kufanyiwa udaku...
 
Pamoja sana mkuu kiwatengu nafurahi kwa appreciation kwa grandma that she is your HEROINE...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom