kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
kwakweli nami pia siwezi kukuchosha shemegi..
mi mzima kuliko kawaida
nafurahi kujua kuwa umzima! khakha nae hajambo?
yupo hapa ananipeti nipate nap kidogo mana usiku sikulala
sio kuwa na pesa tu, hata kuwa na familia nzuri nayo ni heshima
haya, kwani ukulala usiku? ikiwa unakosa sana usingizi mimi dawa ninayo, tuwasiliane au unione kabisaa
kwakweli ntakutafuta hilo ni tatizo sugu
mmmmmmhhhhhh!!!!!!!!!!