Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu
Kwa Neema tele anazotukirimia kila uchwao,
Ni kwa mapenzi yake tu, ndiyo maana tungali hai hadi sasa!
Ndugu zangu nawashukuru sana kwa pongezi zenu mlizonipa siku ya jana
Nilipotimiza miaka kadhaa katika Ulimwengu huu uliojaa mambo kibao..
Nakushukuru sana Mpendwa wangu shansarie kwa jinsi unavyojali na kuheshimu
Mapenzi yetu, ni mara nyingi sana Umesimama kwa ajili yangu na kunipa faraja kubwa..
kwenye shida na kuona kama Tatizo langu ni lako,
Nashukuru sana na Mungu akubariki zaidi na zaidi!
Wakuu katika haya Maisha changamoto ni nyingi sana
Na ukiona Mungu kakuvusha mwaka hadi mwaka ungali mzima ukivuta hewa ya bure,
Inapaswa umshukuru,
Pamoja na wale wanaokuzunguka wema na wabaya!!!!
Kuna mtu ambaye pia sitamsahau katika Maisha yangu,
Kwani yeye ndiye aliyeniwezesha kufika hapa nilipo
Kwa mafanikio kidogo niliyoyapata na nitazidi kufanikiwa..
..its my Grandma(Matemu)r.i.p
She was and she will always be my hero!! a genius bibi....
Nitakukumbuka daima milele and i'll see you again there!!
Njia yetu ni moja!!
Pia najiona mwenye furaha kubwa kuwa mmoja wa member wa JF.
Thank for Ur Wishers and may God bless you all
Few to mention,