Nawashukuru sana Ndugu zangu na Rafiki zangu...

asante kwa kuona nafasi zetu katika moyo wako uwe maisha marefu uishi milele
 
Kama alivyotangulia kusema babe Paloma.. Tunashukuru sana na tunakuombea kila la kheri kwenye maisha yako Insh'allah..
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya mke wangu kipenzi Lady doctor tunakutakia mema maishani, MUNGU akulinde.
 
Last edited by a moderator:
kaka mkubwa, nini zaidi ya kumjari shemegi yangu!? upendo tu alionao kwangu wa ujirani si zaidi! au kuna ubaya?
afadhali umwambie kiwatengu siku hizi anajidai kuwa na wivu sana sasa mi mzee ka wewe ntakupeleka wapi utabaki kuwa shemeji tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…