Ila usimjali sana apate pa kukimbilia..
Kwa niaba ya mke wangu kipenzi Lady doctor tunakutakia mema maishani, MUNGU akulinde.
sawa mpenzi ...pale pale pa jana
huyu jamaa hataki nimsalimie mke wake, wewe nawe vipi?
nitaongea na wewe baadae kidogo!!
asante kwa kushukuru and i will do anything 4 u darling love you sana.
mungu akupiganie na kukuongoza popote uwekapo mguu wako pawe na mafanikio