kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 10,406
- 19,892
Wakuu
Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini.
But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote.
Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na hapa nipo nakula bia na kitimoto choma mwairubi.
Nawashukuru wafanyabiashara coz this is your effort, serikali ilikua imelala usingizi wa pono.