Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Dah hadi nimechoka aiseeee. Unajua kuna mshkaji nilimfuata PM akanihakikishia kuwa amefariki na kwamba ni MTU wanayefahamiana sana! Dah mwana umeniwezaUmefufuka?
Pole kwa yaliyokukuta Bea, karibu tena jamvini.Ukiishi ukapata pumzi na maarifa ya kutambua mema na mabaya mshukuru Sana Mungu Kama unaamini yupo.
Ukipewa nafasi yakutubu tubu, ukipewa nafasi yakuhudumia watu hudumia watu bila kudhani una muda mbele wakuishi...
Mkuu watu walituaminisha asilimia 100 kuwa wewe ni Marehemu Padri Privatus Karugendo! Hatari sana.Ukiishi ukapata pumzi na maarifa ya kutambua mema na mabaya mshukuru Sana Mungu Kama unaamini yupo.
Ukipewa nafasi yakutubu tubu, ukipewa nafasi yakuhudumia watu hudumia watu bila kudhani una muda mbele wakuishi....
Baada ya kuumwa CORONAUmefufuka???
Wakiongozwa na Mr. Much Know wa jamii forumMkuu watu walituaminisha aslimia 100 kuwa wewe ni Marehemu Padri Privatus Karugendo! Hatari sana.
Welcome back to the home of greatsinkersthinkers mkuu.
Nina wasiwasi na huu uandishi.waliowazima ufa na wagonjwa upona.
Karibu Tena Mwanakikundi... Ashukuriwe Mungu Kwa Utetezi wake Kwako... Sifa na Utukufu Kwake. Nimefurahi Sana Sana upo Tena Jukwaani Nilihuzunika Sana nilikuwaza Sana Asante Pia kwa Moyo wako wa Ujasiri Ukakishinda Kifo.Ukiishi ukapata pumzi na maarifa ya kutambua mema na mabaya mshukuru Sana Mungu Kama unaamini yupo.
Ukipewa nafasi yakutubu tubu, ukipewa nafasi yakuhudumia watu hudumia watu bila kudhani una muda mbele wakuishi....
Nkajua KarugendoUmefufuka???