Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,681
- 12,444
Pole sana ndugu kwa yaliyokufika.Tulikuombea uishinde kifo,Mungu ni mwema amekuonekania.
Long live Beatrice Kamugisha
Long live Beatrice Kamugisha
Kadukua password sio?Linganisha na mabandiko yake mengine.. Pia kwenye hii post kuna matumizi ya herufi kubwa pasipostahili na ni mara nyingi hili limejitokeza
It can be anythingKadukua password sio?
Yaaah! Coz mbona haji kujibu comment za watu ili tumsome mwandiko na sauti yake OGIt can be anything
Pengine ndio hulka yakeYaaah! Coz mbona haji kujibu comment za watu ili tumsome mwandiko na sauti yake OG
Hapo ndipo tunaipata tofauti kubwa na kuleta walakini mkubwa piaLinganisha na mabandiko yake mengine.. Pia kwenye hii post kuna matumizi ya herufi kubwa pasipostahili na ni mara nyingi hili limejitokeza
Hili jambo lina mazonge mengi kakaHapo ndipo tunaipata tofauti kubwa na kuleta walakini mkubwa pia
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Wewe binti za kupotea??Itakuwa marehemu alikabidhi password? Si kwa R IP zile asee.
Huyo unayechat naye ni mke wangu Ujue Ooooh nakujua wewe mara PMIt can be anything
Mambo ya humu huyawezi, Kuna dada back in the days alikuwa anaitwa Heaven on Earth, watu walisema ni Joketi 😀 Baadae alikuja kuandika uzi wake mmoja akapost na picha zake.Mkuu watu walituaminisha asilimia 100 kuwa wewe ni Marehemu Padri Privatus Karugendo! Hatari sana.
Welcome back to the home of greatsinkersthinkers mkuu.
Kuna kitu hata mimi sijaelewa ndiyo maana nakaa kimya kwanzaHili jambo lina mazonge mengi kaka
Nipo mkuuWewe binti za kupotea??
Aibu nimeonaHuyo unayechat naye ni mke wangu Ujue Ooooh nakujua wewe mara PM
Kazi iendeleePengine ndio hulka yake
Umenitenga JamaniNipo mkuu
Wivu nimeona mimiAibu nimeona
Huyo mpare ni mtani wangu naona anavuka mipaka sasaKazi iendelee
Kabisa! Padri Karugendo nilimjua sana aliwahi kukaa kwangu na mkewe Rose nikiwa Kimara. Hapo ilikuwa mwaka 2003 kabla hawajaoana rasmi. Nilimjua lafudhi yake, anavyoyatamka maneno na anavyoyaandika.Hili jambo lina mazonge mengi kaka