Nawashukuru Watanzania, Mwenyenzi kanijaalia afya njema

My Goodness Beatrice Kamugusha uko nasi? Mungu ni mwaminifu mno mno. Ulituaga JF ukiwa huna matunaini ya uhai. Tunamshukuru Mungu uko nasi tena. Wengi wetu tulijua wewe ndiye padre Privatus Karugendo ambaye alifariki exact one day baada ya post yako Ile. Ukipitoa ile post yako ya kuaga utajionea. Sasa ni wakati muafaka japo utupe mawili matatu ya mambo yaliyokusibu. Nimefurahi mno mno.
 
Mshana Jr katika ubora wako. Umetufungua macho. Hata maneno ya Uzi wa Jana yameungana ukilinganisha na aliyoandika 23 June. Pia matumizi ya sarufi amekosea Ona apo=hapo n.k. Hivyo Wana JF aliyeingia humu Siyo the Original Beatrice Kamugusha Bali ni mtu ambaye aliifahamu Password yake. Hivyo moderator na Wamiliki wa JF naombeni mfanye upekuzi wa kitaalam mfahamu huyu mtu. Exactly one month 23 June to 23July. Ichunguzwe
 
Mbona hajajibu hata moja wala hajatuambia nini kilimsibu, anatupa mashaka huyu Bea mpya.
 
Exactly one month 23 June to 23July. Ichunguzwe...! Zogwale Hili sikuli notice..!
 
Sisumbuki kabisa kumlinganisha na kumtofautisha![emoji817][emoji736][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Kupitia fumbo hili ndipo waliowazima ufa na wagonjwa upona. Kupitia fumbo hili pia ndipo wasioamini ujiloweka kwenye dhambi na wenye dhambi upata nafasi ya kuokoka.
[emoji848][emoji848][emoji2984][emoji2984]
Kaazi kweli kweeeli.🚶🚶
 
Ukitaka kustaajabu ya beatrice
HUA HAJIBU COMMENTS hata siku moja sasa mnao subiri kujibwa ni kama mna subiri Meli eyapoti
kesha Log Off mwenzenu

NB hii ID ipo chini ya taasisi nyeti
 
Ee bwana we, ajuaye bwana Mungu kwa mzima kuwa mfu na mgonjwa kuwa salama. Wote tunawapa pole
 
Ukitaka kustaajabu ya beatrice
HUA HAJIBU COMMENTS hata siku moja sasa mnao subiri kujibwa ni kama mna subiri Meli eyapoti
kesha Log Off mwenzenu

NB hii ID ipo chini ya taasisi nyeti
Naungana na ww kuamini Hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…