Chancel Mbemba
Senior Member
- Aug 15, 2025
- 109
- 121
Mwaka jana niliandika uzi hapo chini
Japokua msaada sikuupata kutokana na mtu wa hapa jf lakini nawashukuru wote, pamoja na wengine waliochangia kwa masihara.
Ukiwa na jambo lako lipambanie mpaka lifanikiwe, kama mimi ilikua naeelekea mwaka wa 4 bila bila, lakini Mungu mwema kabla ya mwaka wa 4 nimefanikiwa, IMEKUA SURPRISE SANA KWANGU, kwani ni kama nilishakata tamaa.
Mimi mkristo, nilishazunguka kwa manabii wote mnaowajua hapa dar na mikoani, ma padre,wachungaji wa kkkt na makanisa mengine mengi ya kilokole lakini sikufanikiwa.
Kwenye maisha yangu yote NITAWAHESHIMU SANA WAISLAMU japo mimi hua siyapendi mambo yao.
MITISHAMBA ni imani inayopigwa vita sana lakini USISIKILIZE MANENO YA WATU, hizi shida zilikuwepo kabla hata ya ujio wa dini au mahospital na zilitatuliwa.
PANGANI TANGA DAIMA KWENYE KUMBUKUMBU ZANGU.
Ukishaambiwa hospital mbalimbali kua wote wawili hamna shida CHANGAMKA UPANDE WA PILI.
Angalizo: KAMA UNA SHIDA YA UZAZI USIOMBE USHAURI KWA MTU AMBAE HAJAPITIA MAPITO YA SHIDA ZA UZAZI kwani atakukatisha tamaa maana ni kama hajui na haamini unachozungumzia.
Nina mengi sana ya kuongea lakini tuishie hapa, nawashukuru wote.
Nimeandika haya kuwapa moyo ambao bado wana shida kama hizi, kama una shida ya kibaiolojia pambana na hospital, lakini mkienda hospital wote mkiambiwa hamna shida lakini mambo holaa PAMBANA.
Kwenye kutafuta solution usiende kwa waganga wa kuchanja chale na uganga wa aina hiyo, au eti uambiwe nunua mbuzi, ngombe, kuku, HAPANA.
unaweza ukapigiwa visomo vikali sana sambamba na dawa za asili pamoja ya mitishamba ya kuchimba (hapo upate mtaalamu anaejua kama niliombahatisha mimi).
Nisingependa Mtu aje DM kuulizia mambo mengine ya connection ya huyo mtu kuhusu mambo mengine zaidi ya UZAZI.
Wasioamini mambo ya gizani/rohoni siwalaumu, HUWEZI KUKIJUA KITU BILA KUKI EXPERIENCE (We learn through experience)
KWAHERINI na asanteni wote.
HATA KAMA UMEKAA KWENYE NDOA MIAKA 10 BILA KUPATA MTOTO USIKATE TAMAA, KUNA SIKU UTAPATA KIRAHISI SANA MPAKA MWENYEWE UTASHANGAA
Comment ambazo ni za kukashifu za ambazo ni za WASIOJUA HIZO CHANGAMOTO, SITAZIJIBU MAANA HAWAJUI CHOCHOTE HII STORY NA ILIVYOKUA SIO KWA AJILI YAO. Natamani sana uzi huu uchangiwe na wenye changamoto au waliowahi kupitia.
Nimekuja hapa JamiiForums kuomba ushauri na msaada Kwa namna moja au nyingine, hapa nimekuwa nikisoma tu nyuzi za watu nilikuwa sina account na mimi nimeona nijiunge nitoe yanayonisibu labda nitapata msaada, hapa naamini ni sehemu sahihi japo kuna ambao sometimes wanaleta masikhara.
Ishu inayonisumbua ni kwamba nimekaa na mwanamke kwasasa takriban Miaka mi3 hatujafanikiwa kupata mtoto.
Tulishakwenda hospitali kupima wote tukaonekana tupo sawa hatuna shida (hospitali special za uzazi) pia mimi kwenye pita pita zangu maisha ya nyuma huko nishawahi kutia sana wanawake mimba.
Harakati zetu...

- Chancel Mbemba
- kitendawili kutatua sana tusaidiane
- Replies: 203
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki