Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
Hamna mkuu nataka namba tuMkuu una shida ya kumpata mtoto?
Hamna mkuu nataka namba tuMkuu una shida ya kumpata mtoto?
Ni kweli nikishapost imetoka , ni ushamba WA iphone keyboardMkuu kabla hijapost uwe unasoma wewe kwanza ulichoandika..kisha ufanyie editing...angalia ulichoandika
🤣🤣🤣 Mzee umemkomalia huyo jamaa hadi kakimbia, ila uhalisia ni kwamba wanawake wanafungwa sana wasizae kichawi, na vifungo hivyo vikotolewa wanazaa vzur tuu.Naelewa mkuu.
Kwanza naomba niseme hapa tunaelimishana tu, I mean no malice at all.
Jiulize why umehangaika kooote lakini ukaenda kufanikiwa Pangani kwa masheikh?
Kwa nini kwa manabii na maaskofu na mapadre ilishindikana?
Kumbuka waganga wa kienyeji sio lazima wavae tunguli na wakupe mitishamba au mizizi au wakuchanje chale. Hata hao wa visomo ni waganga waliochangamka maana tunguli zao ni za kisasa ikiwemo kutumia MAJINI.
Cha msingi hapa, mleeni mtoto wenu kwa makini sana.
Nimekuelewa mkuu😎🤣🤣🤣 Mzee umemkomalia huyo jamaa hadi kakimbia, ila uhalisia ni kwamba wanawake wanafungwa sana wasizae kichawi, na vifungo hivyo vikotolewa wanazaa vzur tuu.
Kuna jamaa yangu yeye mke wake alitupiwa jini cheketu, hilo mimba ikiwa changa tu linakula, yani hapo mpaka kupata mtoto ilibidi wapate mtaalamu wa kutoa ile shida maana hata usiku mke wake alikua halal ni kama alikua na jini mahaba.
Wanawake wengi wanatupiwa mnyama anaenda kukaa kwenye kizazi, chakula chake inakua ni kula mayai yanayoanza kurutubishwa.
Kuna wengine wanatupiwa kitu kinakaa kwenye kizazi kazi yake ni kupuliza hewa chafu kuharibu mayai yasikomae.
Mambo ni mengi sana mkuu.
Ila kama huyo jamaa alivyosema hapo juu kama mtu huamini haya mambo na hujapitia ni ngumu sana kuelewa na kuamini, mimi sijapitia shida hizo lakini nina washkaji sio chini ya watatu walikua na changamoto.
Na huyo jamaa kwa maelezo yake itakua hajaenda kwa mganga wa kienyeji ila kaenda kwa wale mashehe wanaotibu na dawa za suna.
Sawa mkuu.Hamna mkuu nataka namba tu