ah haha haaa...........poole mama, si ajabu ME wengine walikuwa wanasimama mlangoni afu wanarusha hadi kwenye tundu la sink,lols, go for clinical experiment mana the earlier the betterYeah ukizingatia hiyo staili yenu ya kukojoa nyie ME mtu anasimama hapa kojo linaruka kuleee yani hata pa kukanyaga ilikua ni shida
Mwenzio naumwa nduguu usilete utani ujueee! !!!
Ni balaa tupu yani
ah haha haaa...........poole mama, si ajabu ME wengine walikuwa wanasimama mlangoni afu wanarusha hadi kwenye tundu la sink,lols, go for clinical experiment mana the earlier the better
Wasalaaaaaam wana jamvi!
Kama mnavojua mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Juzi kati hapa nilikua kwenye semina flani hivi hukoo mahala kwa muda wa wiki mbili.
Kwa eneo ilipofanyika semina hiyo zile huduma zetu zile za long calls na short calls zote zilikua sehemu moja tu yani jinsia zote mbili ME &KE tulipata huduma sehemu moja tu just imagine jamani dah!
Sasa tangu nitoke seminani kuna hali flani hivi ya muwasho imekuwa ikinipata kuleeee kwenye maeneo around K. Kwenye mashavu ya K kwa juu juu nawashwa sana mpaka nakosa raha ofisini hapakaliiki nyumbani kutwa kujikuna!
Je nitumie dawa gani ambayo haitanidhuru kule pangoni bandugu as you know the area is so sensitive??
Nawasilisha.
Haaa nikithubutu kukuna ndio nasikia utamu zaidi na zaidi afu fangasi banah sijui zikoje! !
Mhm hapo ndio hatari sasa kwani fangasi si zinaambukizwa au????
Mzizi mkavuSamahani kwa kutoka nje ya mada,nina mtoto mdogo umri mwaka 1.2,kama wik 2 nyuma alipata maleria aliharisha sana akapoteza uzito na kupungu,alipata matibabu ,sasa kuanzia pale tatizo la kuharisha limekuwa sugu,nikienda private hsptl napewa dawa za kuzuia japo nazo naona hazisaidii,mtoto hatak kula,akila anatapika!na choo anapata mara nyingi majimaji tu,Naomba msaada ni hosptl gan nzur kwa watoto,nipo dar.cc MZIZI MKAVU,MAHONDAN