Nawashwaaa naomba ushauri

Nawashwaaa naomba ushauri

Yeah ukizingatia hiyo staili yenu ya kukojoa nyie ME mtu anasimama hapa kojo linaruka kuleee yani hata pa kukanyaga ilikua ni shida
ah haha haaa...........poole mama, si ajabu ME wengine walikuwa wanasimama mlangoni afu wanarusha hadi kwenye tundu la sink,lols, go for clinical experiment mana the earlier the better
 
Nenda hospital, ila usiache kupakuna, pakune pakunike, pakuneeee weeeee mpaka paelewe kukunwa ni nini!!
 
ah haha haaa...........poole mama, si ajabu ME wengine walikuwa wanasimama mlangoni afu wanarusha hadi kwenye tundu la sink,lols, go for clinical experiment mana the earlier the better

Yani chini kwenye sakafu palijaa mikojo tupu aseee!
 
Wasalaaaaaam wana jamvi!

Kama mnavojua mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Juzi kati hapa nilikua kwenye semina flani hivi hukoo mahala kwa muda wa wiki mbili.

Kwa eneo ilipofanyika semina hiyo zile huduma zetu zile za long calls na short calls zote zilikua sehemu moja tu yani jinsia zote mbili ME &KE tulipata huduma sehemu moja tu just imagine jamani dah!

Sasa tangu nitoke seminani kuna hali flani hivi ya muwasho imekuwa ikinipata kuleeee kwenye maeneo around K. Kwenye mashavu ya K kwa juu juu nawashwa sana mpaka nakosa raha ofisini hapakaliiki nyumbani kutwa kujikuna!

Je nitumie dawa gani ambayo haitanidhuru kule pangoni bandugu as you know the area is so sensitive??

Nawasilisha.

bado tu unawashwaaaa? nimechelewa kufika.
 
Nenda hospital, ila usiache kupakuna, pakune pakunike, pakuneeee weeeee mpaka paelewe kukunwa ni nini!!

Haaa nikithubutu kukuna ndio nasikia utamu zaidi na zaidi afu fangasi banah sijui zikoje! !
 
Haaa nikithubutu kukuna ndio nasikia utamu zaidi na zaidi afu fangasi banah sijui zikoje! !

Hizo ni fangus za vyoo, nenda fasta!! mi kuna dem ilikuwa nikigonga tu, kesho yake naanza kuwashwa!! nikipaka dawa ya fungus inaisha, nikigonga tena nawashwa, napakuuuuuuunaaa, napaka nawa inaisha, ila sikomi, naenda tena nagonga!! dem alikuwa na zigo la maana na shape pia, so nashindwa kuacha!!
 
Samahani kwa kutoka nje ya mada,nina mtoto mdogo umri mwaka 1.2,kama wik 2 nyuma alipata maleria aliharisha sana akapoteza uzito na kupungu,alipata matibabu ,sasa kuanzia pale tatizo la kuharisha limekuwa sugu,nikienda private hsptl napewa dawa za kuzuia japo nazo naona hazisaidii,mtoto hatak kula,akila anatapika!na choo anapata mara nyingi majimaji tu,Naomba msaada ni hosptl gan nzur kwa watoto,nipo dar.cc MZIZI MKAVU,MAHONDAN
 
Mzizi mkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom