Wasalaaaaaam wana jamvi!
Kama mnavojua mficha uchi hazai na mficha maradhi kifo humuumbua. Juzi kati hapa nilikua kwenye semina flani hivi hukoo mahala kwa muda wa wiki mbili.
Kwa eneo ilipofanyika semina hiyo zile huduma zetu zile za long calls na short calls zote zilikua sehemu moja tu yani jinsia zote mbili ME &KE tulipata huduma sehemu moja tu just imagine jamani dah!
Sasa tangu nitoke seminani kuna hali flani hivi ya muwasho imekuwa ikinipata kuleeee kwenye maeneo around K. Kwenye mashavu ya K kwa juu juu nawashwa sana mpaka nakosa raha ofisini hapakaliiki nyumbani kutwa kujikuna!
Je nitumie dawa gani ambayo haitanidhuru kule pangoni bandugu as you know the area is so sensitive??
Nawasilisha.
Aisee wakunaji wameenda wapi??Wasalaaaaaam wana jamvi!

nunua tu dawa za papuchi zipo kibao pharmancyWeeNtakulapua makofi ujuee!!