Nawasihi ukitaka amani achana na Siasa kama mimi

Nawasihi ukitaka amani achana na Siasa kama mimi

Kwa nchi nyingi za kiafrika, Korea kaskazini, Urusi na kwingineko demokrasia bado kukubalika ipasavyo; kwa hiyo kuingia kwenye siasa unaonekana wewe ni kizuizi kwa wanufaika, inayopelekea kuwa na maadui wengi.

Ndio maana wengi wanajikita kushangilia mipira, kwa sababu eneo hilo ndio halina changamoto.​
 
When you don't want to take part in politics you are admitting that you are ready to be ruled and governed by Fools.

Na watu wa namna hii ndio ccm inawataka.
 
Usiache siasa kaka kama muoga bora uwe mwanaharakat usiejulikana kama sisi tunashambulia mitandaoni kwa machale mengi
 
Back
Top Bottom