Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa kufanya mambo makubwa mkoani humo!
Sisi wananchi hatujui ni nini kinaendelea hapa naona kama ni sinema au angalau mchezo wa kuigiza.
Sisi wananchi hatujui ni nini kinaendelea hapa naona kama ni sinema au angalau mchezo wa kuigiza.