Ukiona hivyo ujue akili zao hazina akili.Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa kufanya mambo makubwa mkoani humo!
Sisi wananchi hatujui ni nini kinaendelea hapa naona kama ni sinema au angalau mchezo wa kuigiza.
Ni sawasawa na kinachotokea Bungeni katika nyakati hizi za Bunge la Chama kimoja..........Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa kufanya mambo makubwa mkoani humo!
Sisi wananchi hatujui ni nini kinaendelea hapa naona kama ni sinema au angalau mchezo wa kuigiza.
Ndio tabia ya watu rukwa na katavi!Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa kufanya mambo makubwa mkoani humo!
Sisi wananchi hatujui ni nini kinaendelea hapa naona kama ni sinema au angalau mchezo wa kuigiza.
Akili zao zina akili lakini akili ya akilini ndo tatizoUkiona hivyo ujue akili zao hazina akili.
Huko si ndiyo kuna wazee wa kutengeneza radi ππππππ
Ukweli wanaujua, wao wanalipwa 18M nje na posho + rushwa kwa mweziHizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa kufanya mambo makubwa mkoani humo!
Sisi wananchi hatujui ni nini kinaendelea hapa naona kama ni sinema au angalau mchezo wa kuigiza.
Hilo zamwamwa luka ndiyo zero brain kabisaAkili zao zina akili lakini akili ya akilini ndo tatizo
Uulize luka Mwasha Mbwa