Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Moja Ya mtandao Wenye Ugumu kuwasiliana na Huduma kwa mteja ni Voda
Utaratibu walio uweka nimgumu sana Mpaka huwa nashindwa Kuelewa lengo lao Nini Maelezo mengi Ambayo hayana Maana yeyote
Wameweka Machaguzi kama Kumkomoa Mteja nasio Kumsaidia mteja,
upuuzi mtupu
 
Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa.

Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa salio nimeshaliweka Mpesa Visa
Chat nao whatsap 0754100100, wana respond faster sana..
 
pending status, piga 100 chagua huduma za mpesa utapokelewa haraka
Hakuna huduma ya kuongea na Mtoa huduma, hapo ni kuwapandia kwenye social media page zao zote kuanzia Insta, X, Fb kote huko awatonye na uthibitisho wa Screenshots atajibiwa ndani ya muda sana sana Insta aingie Page ya Vodacom awecheck DM kinyume na hapo afike Vodacom HQ kwa malalamiko zaidi
 
Back
Top Bottom