Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Hio option atasubiri sana hawapokei hakuna mtoa huduma atampokelea simu yake option hio Vodacom haipo hamsikii au?
Punguza ujuaji wa kishamba.... natumia hiyo option kila mara na naongea na mtoa huduma, namba 100 chagua no 4 kuripoti simu iliyopotea mtoa huduma anapokea
 
Voda kwenye kuongea na muhudumu ni kasheshe. Kuna siku nimepata changamoto nimepiga simu nimesikiliza mziki zaidi ya dakika 10 nikakata. Nikaenda instadirect najielezea roboti linarudia kuniuliza. Ikabid nifunge safari mpaka shop kwao ndio kupata utatuzi.

Wakati tigo kama mteja wa thamani hamna muda wa bonyeza 1 wala 2 ni chap unapokelewa. Tigo wako vyema sana
 
Punguza ujuaji wa kishamba.... natumia hiyo option kila mara na naongea na mtoa huduma, namba 100 chagua no 4 kuripoti simu iliyopotea mtoa huduma anapokea
Acha lugha za matusi basi wewe unafanya kazi Vodacom au umekaza tu mshipa wa mkundu? Unatumia hio option toka lini ukiwa wapi na nani na Bwana wako akiwa amekubenjua km anataka kukuvunja au?
 
. Piga 100
2. Chagua English
3. Chagua option ya kuripoti kupotelewa na simu.
4. Chagua una document zote za kukutambulishx
5. Subiri simu ipokelewe ndani ya muda
Hio option empty response hua situmii complicated option hapo ni sawa unabet
 
Back
Top Bottom