Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 651
- 1,244
Kuwa mvumilivi nimesubiri dakika hizo hapo juu mpaka amepokea mtoa huduma dk 5:37Sijafanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mvumilivi nimesubiri dakika hizo hapo juu mpaka amepokea mtoa huduma dk 5:37Sijafanikiwa
Kama unatumia voda jaribu hiyo option ujiridhishe. Tufunge mjadala sasaBasi wengine hawapo kwenye list ndio maana hawapokei au wewe hua unaweka appointment kabla hujapiga mteja VVIP wa Vodacom?
Poa mimi mduanzi na wewe mjuaji endelea na ujuaji wako boss.Kuingiza fedha kivipi we mduwanzi wa wapi kwani si nimenunua kifurushi au unazungumzia nini?
Katika kipengele hiki cha kuwasiliana nao, voda no wapumbavu sanaMoja Ya mtandao Wenye Ugumu kuwasiliana na Huduma kwa mteja ni Voda
Utaratibu walio uweka nigumu sana na Maelezo mengi Ambayo hana Maana yeyote upuuzi mtupu
Vodacom hawana hio option ya kuongea na mtoa huduma hio option ipo mitandao mingine tu, hio option walishaiondoa kitambo sana na haipoKatika kipengele hiki cha kuwasiliana nao, voda no wapumbavu sana
Jumlisha suala la kukatika mtandao ovyo ovyo
Haipo hio option nmeshajiridhisha au unafikiri nimeanza kutumia Vodacom jana?Kama unatumia voda jaribu hiyo option ujiridhishe. Tufunge mjadala sasa
Naambiwa nifike ofisiniKuwa mvumilivi nimesubiri dakika hizo hapo juu mpaka amepokea mtoa huduma dk 5:37
Umeshawahi tumia hiyo huduma ya M-pesa VISA?Hata usipowapgia pesa yako itarud mimi huwa inakua hivyo mara kadhaa na sikuwai wapigia baada ya wiki nikiangalia nakuta wamerudsha
Yeah huwa natumia nikiwa nafanya matangazo ya kulipia mtandaonUmeshawahi tumia hiyo huduma ya M-pesa VISA?
Watairudsha kwenye hyohyo acc yako ya visaUmeshawahi tumia hiyo huduma ya M-pesa VISA?
Hii kampuni sijui imekuaje yaaniHuduma za wateja Vodacom ilikuwa zamani ukigusa tu ...sahizi hovyo kabisa
Kuna kitu hujaelewa.... ukichagua namba 5 then unachagua 0 kuconfirm simu uliyotumia kupiga imesajiliwa na taarifa zako... ukiminya 0 itakwambia simu yako itarekodiwa subiri mtoa huduma then endelea kusubiri mpaka simu ipokelewe...Naambiwa nifike ofisini
DahPiga 100 kisha chagua lugha ya kiingereza hapo unaweza pata Masada kwa haraka. Kuwasiliana na mora Huduma wa Vodacom ni ngumu Sana, labda ukawatukane kule twitter ndio wanaweza kukusaidia kwa haraka
Naunga mkono hojaMoja Ya mtandao Wenye Ugumu kuwasiliana na Huduma kwa mteja ni Voda
Utaratibu walio uweka nigumu sana na Maelezo mengi Ambayo hana Maana yeyote upuuzi mtupu