Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Hio haipo pitiapitia comments huko juu usimpoteze mwenzio option ni social media pages zao tu ndio unatapa suluhisho kinyume na hapo utasaga lami
Mimi nazungumza kwa experience yangu. Pia kama namba yako ni ya kitambo sana wanakuzingatia. Mimi nimeanza nao 2003 wakiwa na miaka mitatu nchini
 
Sijasema hiyo NI VIP kaka. Mimi Leo nimekosea lipa Kwa Mpesa nimewapigia nikawapata na haikuzidia dakika tatu
Kwa hio unataka kutuambia kwamba kwenye Checklist yao ya wateja muhimu zaidi km rais wa Nchi au Waziri na Wewe umo?
 
Back
Top Bottom