Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Hawana option ya kuongea na mtejapending status, piga 100 chagua huduma za mpesa utapokelewa haraka
Duu wanatumia roboti hata hatuelewaniPiga 100 kisha chagua lugha ya kiingereza hapo unaweza pata Masada kwa haraka. Kuwasiliana na mora Huduma wa Vodacom ni ngumu Sana, labda ukawatukane kule twitter ndio wanaweza kukusaidia kwa haraka
Chat nao whatsap 0754100100, wana respond faster sana..Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa.
Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa salio nimeshaliweka Mpesa Visa
Hakuna huduma ya kuongea na Mtoa huduma, hapo ni kuwapandia kwenye social media page zao zote kuanzia Insta, X, Fb kote huko awatonye na uthibitisho wa Screenshots atajibiwa ndani ya muda sana sana Insta aingie Page ya Vodacom awecheck DM kinyume na hapo afike Vodacom HQ kwa malalamiko zaidipending status, piga 100 chagua huduma za mpesa utapokelewa haraka
Hio ni sawa na 100 tu hata Mimi ninayo hakuna response yoyote huko hapo mchawi page zao wanajibu wana social media Managers wanarespond bila shida0754100100
Hawana huduma ya kuongea na mtoa huduma hio option haipo kwa hio ukitaka kuongea na mtoa huduma utasubiri sana option zipo nyingi ila sio hio ya kuongea na mtoa huduma hio haifanyi kaziCustomer care kwa Vodacom Tanzania ni ya hovyo mno. Kuongea na mtu wao wa huduma inachukua mpaka massa manne!
Hio option atasubiri sana hawapokei hakuna mtoa huduma atampokelea simu yake option hio Vodacom haipo hamsikii au?Piga 100... chagua option ya kuripoti uhalifu then utaongea na mtoa huduma tatizo lako