Nawasiliana vipi na mtoa huduma wa mtandao wa Vodacom?

Moja Ya mtandao Wenye Ugumu kuwasiliana na Huduma kwa mteja ni Voda
Utaratibu walio uweka nigumu sana na Maelezo mengi Ambayo hana Maana yeyote upuuzi mtupu
Katika kipengele hiki cha kuwasiliana nao, voda no wapumbavu sana
Jumlisha suala la kukatika mtandao ovyo ovyo
 
Katika kipengele hiki cha kuwasiliana nao, voda no wapumbavu sana
Jumlisha suala la kukatika mtandao ovyo ovyo
Vodacom hawana hio option ya kuongea na mtoa huduma hio option ipo mitandao mingine tu, hio option walishaiondoa kitambo sana na haipo
 
Hata usipowapgia pesa yako itarud mimi huwa inakua hivyo mara kadhaa na sikuwai wapigia baada ya wiki nikiangalia nakuta wamerudsha
 
Wanazingua mambo mengi sana. Nakushauri, achana na huo mtandao
 
Naambiwa nifike ofisini
Kuna kitu hujaelewa.... ukichagua namba 5 then unachagua 0 kuconfirm simu uliyotumia kupiga imesajiliwa na taarifa zako... ukiminya 0 itakwambia simu yako itarekodiwa subiri mtoa huduma then endelea kusubiri mpaka simu ipokelewe...

Nimefanya hapo mimi kukuonesha na zoezi zima mpaka simu kupokelewa imechukua dakika 5 na hizo sekunde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…