Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
Binafsi ninawatakia amani kwenu Majaji wote na mahakimu wote wa mahakama zetu na mabaraza yote ya haki nchini.
Amani, baraka na afya tele viweke makazi kwenu mmoja mmoja iwapo mnakidhi bila kupunguza hata moja katika haya yafuatayo:-
Otherwise, wananchi hatuna imani na nyie. Haki ni msingi wa AMANI
Amani, baraka na afya tele viweke makazi kwenu mmoja mmoja iwapo mnakidhi bila kupunguza hata moja katika haya yafuatayo:-
- Meza yako inatoa hukumu ya haki
- Hauruhusu mahakama yako kuingiliwa kwa njia yeyote ya rushwa au maagizo ya watawala
- Unazingatia Katiba ya nchi kama msingi mkuu wa sheria unazotumia kufikia hukumu
- Kesi za kisiasa kutoegemea upande wa watawala bali unatenda haki kwa uwiano sawa
- Kutoruhusu utamaduni wa kesi za uongo kwa namna yeyote ile
- Kukataa rushwa za vyeo ili kutoa hukumu
Otherwise, wananchi hatuna imani na nyie. Haki ni msingi wa AMANI