Nawatakia Waislam wote Ramadhan njema, haya ni yangu machache

Sema naappreciate your level in politics
 
Shida ni unafiki wa wafuasi wa hii dini,mwezi 1 wa toba,miezi 11 ya uovu na dhambi.
Wrong idea... Waovu wako katika kila walk of life not only in Islam au wafuasi wake... Bible Ina history ya wafuasi makatili na wanafiki. Byzantine, knights, Roman Empire and its continuation the Byzantine Empire, the Russian Empire, the Spanish Empire, the British Empire, the Portuguese Empire, and the Frankish Empire bila kusahau crusades.
 
Ages after ages, kufunga kulitambulishwa na mitume wote na hata Nabii Issa(A.S) alikuwa AKIFUNGA na haikuitwa Ramadan ilikuwa inatbulika kama observance kuwa karibu na Muumba wako. Tambua hilo.
 
Duh
 
Du apo mahali mtu atajisaidia kuna mtu ataweza kuruka kwl[emoji848]
 
Hili la quran kushushwa ni uongo unaotetewa kwa nguvu zote!
 
Hili la quran kushushwa ni uongo unaotetewa kwa nguvu zote!
Toa proof ya hili.. Unaelewa kushushwa kwa Q'uran? Jibreel aliileta as a message from the higher place.. Sio kitabu au gazette, goofy 🤣
 
Toa proof ya hili.. Unaelewa kushushwa kwa Q'uran? Jibreel aliileta as a message from the higher place.. Sio kitabu au gazette, goofy 🤣
Kalbi ndio alikuwa analeta Koran na Muhammad kakutwa nae chumbani mara nyingi
 
Kaka UNAZIDI kuniangusha Kila Leo.

mfano una mtoto Anaingia shule saa Moja ASUBUHI Hadi saa kumi na moja JIONI
Shule ikabadili RATIBA wakwanza kuingia Darasani saa moja JIONI hadi saa kumi na moja ASUBUHI

HAPP WAMEBADILI RATIBA AU WAMEFUNGA??????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…