Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa wale wote tutakao shiriki uchaguzi muhimu mno na wa maana sana wa serikali za mitaa,
Nawatakia nyote matumizi sahihi uhuru na haki ya kikatiba, kwa kuchagua viongozi makini na watakao saidia kuchochea mageuzi na maendeleo katika mtaa au kijiji unachoishi.
Hongera kwa uchaguzi wa kidemokrasia na Asanti sana kwa kushiriki kampeni za kistaarabu. Piga kura na uende nyumbani kusubiri matokeo 🐒
Mungu Ibariki Tanzania