Cc ErythrocyteKwa wale wote tutakao shiriki uchaguzi muhimu mno na wa maana sana wa serikali za mitaa,
Nawatakia nyote matumizi sahihi uhuru na haki ya kikatiba, kwa kuchagua viongozi makini na watakao saidia kuchochea mageuzi na maendeleo katika mtaa au kijiji unachoishi.
Hongera kwa uchaguzi wa kidemokrasia na Asanti sana kwa kushiriki kampeni za kistaarabu. Piga kura na uende nyumbani kusubiri matokeo π
Mungu Ibariki Tanzania
Gentleman,Hakuna uchaguzi na poleni kwa wale wakatao enda na kupoteza muda wao kupigwa na jua
Na kesho lazima kuna watu watalia,kuna watu wataishia mkononi mwa polisi hata uhai kupoteza pia
Ova