Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Hivi kijana Mdogo inakuwaje unanunuwa msichana?Kama hamna hela mtuliage tu kuliko kupata dhambi mbili mbili
Mnashindwa kuongea nao? Sijawahi kununuwa msichana nilipokuwa mvulana, mnapiga swaga anayezielewa anakupa mambo mkitoka hapo kila mtu shida zake anapeleka kwao kwa baba yake.
Shida imekuja baada ya vijana kuanza kujipachika majukumu ya Wazazi, halafu kichekesho ule muda wao halali wa majukumu ukifika wanakimbia majukumu, ni vichekesho vitupu.