Nawatazama hawa Wanawake waliofanikiwa kimaisha Clouds Tv, ila Shuhuda zao za Mafanikio hazinishawishi

Nawatazama hawa Wanawake waliofanikiwa kimaisha Clouds Tv, ila Shuhuda zao za Mafanikio hazinishawishi

Wengi wao ni watu wa kamba sana

Msome huyu

"Wasichana au wakina mama tunaweza kununua madira ya elfu 13,000 au Lipstick ya elfu 3,000 lakini tukashindwa kununua unga wa maandazi wa elfu 10,000, wasichana wengi wanaonea aibu biashara zao wakihofoa watachukuliwa na jamiii, Mimi mpaka kufika hapa nilianzia na mtaji wa elfu 20,000 tu lakini kwasasa nimekuwa chanzo cha ajira nyingi za watu" Selina Letara [HASHTAG]#MalkiaWaNguvu[/HASHTAG] wa mwaka jana ambaye ni Mmiliki wa kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa Hc Pads Tanzania

mwingine huyu hapa anaseama

"Mimi nilianza na mtaji wa laki moja (100,000) ambayo hiyo ukijumlisha na nauli ya kwenda na kurudi kariakoo ambapo nilikuwa nauza nguo za ndani kwa wanafunzi wenzangu chuoni, lakini kwasasa nina duka la nguo za kiume (Nguo za dukani) na Duka la nguo za kike (Nguo za Mtumba), Nauza kisamvu kwenye supermarkets, Popcorns na Spaghetti (Tambi)" Latifa Mohamed

mwingine huyu hapa

Bado kuna watu wengi ambao wanasoma Udaktari lakini mawazo yao yapo kwenye kuajiriwa wakimaliza masomo yao badala ya kuwaza ni kitu gani inabidi akifanya ili kusaidia jamii yake kwa kutumia elimu yake, Kuna watu wengi ambao ukiwapelekea mawazo yako wao wanayabeba na kufanyika kazi wao na hii isiwakatishe tamaa kwani wewe ndiyo unajua lengo la wazo lako ambalo ungetamani ulifanye na ulikuwa unalitazama kwa ukubwa ule" Juliana Busasu [HASHTAG]#MalkiaWaNguvu[/HASHTAG] 2017 ambaye ni mwanafunzi wa Udaktari mwaka wa tano na ni Mkurugenzi wa
Tanzania Health and Medical Education Foundation (TAHMEF)

mwingine huyu hapa

Mimi wakati nataka kuanza biashara yangu ya [HASHTAG]#Manjano[/HASHTAG] watu wengi walinikatisha tamaa lakini kwasababu nilijua nataka nini sikukubali kukatisha wazo langu, hata wakati nilipotaka kufungua Chuo cha urembo nilimfata 'Mental wangu' (Mshauri) na kumueleza wazo langu na alinishauri nifunge baadhi ya maduka yangu japo ilinitisha lakini nilifunga ili niweze kufungua chuo na kweli kwasasa nina chuo cha urembo na biashara zangu zinaenda vizuri" Shekha Nasser
sasa naanza kuelewa kwanini watanzania tumekua nafasi ya nne kwa watu wasiokua na furaha duniani..sasa jaman hapo kuna tatizo gani kwanini watu wazima mnapenda ponda succesful story na kusimamia umbea tu tena watoto wa kiume.....kuna hii thread na ile wanamponda mohamed dewji.....biashara yoyote au shughuli yoyote huanzia na wazo..sasa kama watoto wa kiume mmekaa mnawaponda wamama wapambanaji tafuteni millioni kumi anzisheni biashara au tuwavalishe madera basi.....shame
 
Kama alikuchukulia Mke / Demu au upo nae hapo Ofisini CMG na unaona anakubalika sana na unamchukia hayo ni mambo yenu ambayo hayanihusu na siyahitaji. Kwani hii ni post yako ya pili unamshambulia na kumsanifu. Kwa kukusaidia tu ukiona hadi GENTAMYCINE namkubali ama Mtangazaji au Mwandishi fulani jua kuwa nimempima kwa Vigezo vyangu vyote na yupo vizuri. Watangazaji wa Luninga ( Television ) ambao nawakubali kwa kuwa na IQ nzuri na kubwa ninayoitaka halafu wako ' very critical ' kwa Tanzania ya sasa wapo wawili tu huyu Mtani wangu wa Kihaya Siza wa CMG ( Clouds tv na Clouds fm na Aloyce Nyanda wa SAHARA Media ( Startv na RFA )

Kazi Kwako.
Hahaha, wa tz bana ,namsifu kwa script nzuri mkuu

Week end njema
 
Ukijiamini unaweza acha kutaka ' Kutupotosha ' hapa Mkuu. Nenda Kanisani uone Watu wanavyotoa ' Shuhuda ' zao za kutisha kabisa mbele ya Watu na kwa Mungu kisha wanakuwa watumishi wazuri tu na mfano wa kuigwa. Kisaikolojia tu ukiona Mtu hataki kusema 100% ya mafanikio yake jua kuna 99.9% ya Uongo, Unafiki na Kutojiamini ndani yake.
jamaa nilikua nakuheshim sana ila hapa naanza kukushusha majority of your post its as if unapersonal vendetta au grudge against CLOUDS MEDIA GROUP....grow up au mpe mtaji mkeo tuone atakavyokua malkia wa Mungu...tujifunze kuheshim vyetu na huo ndo uzalendo kamili tusiwe kama KAA
 
hata huko kanisani unajua kuna shuhuda zingine zina "chumvi" 80%
 
Hahaha, wa tz bana ,namsifu kwa script nzuri mkuu

Week end njema

Kwenda huko ' Mnafiki ' mkubwa na Mtu uliyejawa na Roho Mbaya na Husuda kwa Wenzako. Uzi unazungumzia hawa Wanawake na ' Fiksi ' zao Wewe unakuja kuanza kumshambulia Mtangazaji Siza unataka tukueleweje? au Mtani wangu wa Kihaya ' alikutambalizia ' nao na hakukumalizia Salio? Hata umkashifu vipi ila narudia tena kusema Siza ni mmoja wa Watangazaji mahiri ninaowapenda na kuwakubali mno kwa sasa Tanzania na yule mwenzake wa Startv Aloyce Nyanda.
 
jamaa nilikua nakuheshim sana ila hapa naanza kukushusha majority of your post its as if unapersonal vendetta au grudge against CLOUDS MEDIA GROUP....grow up au mpe mtaji mkeo tuone atakavyokua malkia wa Mungu...tujifunze kuheshim vyetu na huo ndo uzalendo kamili tusiwe kama KAA

Foolish.
 
Ukijiamini unaweza acha kutaka ' Kutupotosha ' hapa Mkuu. Nenda Kanisani uone Watu wanavyotoa ' Shuhuda ' zao za kutisha kabisa mbele ya Watu na kwa Mungu kisha wanakuwa watumishi wazuri tu na mfano wa kuigwa. Kisaikolojia tu ukiona Mtu hataki kusema 100% ya mafanikio yake jua kuna 99.9% ya Uongo, Unafiki na Kutojiamini ndani yake.
kanisani pia nakukatalia, huwa nastaajabu shuhuda za kwa mzee wa upaka, mwanamke anasema, "mwaka jana sikua na gari, baada ya kuanza kuja kanisani na kupata upako, sa ivi nina gari langu, lipo hapo nje"
Sasa unajiuliza kwanini huwa hawaelezee walifanyaje, hupati jibu.
 
sasa naanza kuelewa kwanini watanzania tumekua nafasi ya nne kwa watu wasiokua na furaha duniani..sasa jaman hapo kuna tatizo gani kwanini watu wazima mnapenda ponda succesful story na kusimamia umbea tu tena watoto wa kiume.....kuna hii thread na ile wanamponda mohamed dewji.....biashara yoyote au shughuli yoyote huanzia na wazo..sasa kama watoto wa kiume mmekaa mnawaponda wamama wapambanaji tafuteni millioni kumi anzisheni biashara au tuwavalishe madera basi.....shame
Mkuu Wabongo hata usimulie vipi hawawezi kuamini!
mfano halisi upo humu humu jukwaani kwa kijana mwenzetu ONTARIO walimshambulia weeee hata kwa mambo ya kawaida tu ambayo yanahitaji mjadala wa kawaida kwa watu wanaohitaji kusonga mbele!

Mpaka ameacha kabisa kuanzisha mada humu #Jf ila ukiangalia hakuna tatizo lolote kubwa la kufanya ashambuliwe namna ile!

Ingawa ni kweli wapo ambao wamesaidiwa kwa namna moja au nyingine na wenzi wao!.....
 
unajua hamna mtu anayeweza sogea bila msaada in one way or the other..kikubwa ni je kamaintain? na hilo swala ni dunia nzima..ila unakuta jitu sijui lina stress na kufeli kwa maisha yake basi kutwa kuandika thread halafu mbaya zaidi za kumdiss mwanamke...pathetic...unaweza pewa hata million 100 ila kama huna spirit ya ujasiliamali wiki tu zinaisha...muulizeni idris sijui
 
Ni kweli Mkuu!
Nimependa hapo juu umemuuliza alimpa shilingi ngapi mkewe na ametengeza shilingi ngapi?
ameishia kupovuka tu.... [emoji23]
 
Back
Top Bottom