Nawatazama hawa Wanawake waliofanikiwa kimaisha Clouds Tv, ila Shuhuda zao za Mafanikio hazinishawishi

sasa naanza kuelewa kwanini watanzania tumekua nafasi ya nne kwa watu wasiokua na furaha duniani..sasa jaman hapo kuna tatizo gani kwanini watu wazima mnapenda ponda succesful story na kusimamia umbea tu tena watoto wa kiume.....kuna hii thread na ile wanamponda mohamed dewji.....biashara yoyote au shughuli yoyote huanzia na wazo..sasa kama watoto wa kiume mmekaa mnawaponda wamama wapambanaji tafuteni millioni kumi anzisheni biashara au tuwavalishe madera basi.....shame
 
Hahaha, wa tz bana ,namsifu kwa script nzuri mkuu

Week end njema
 
jamaa nilikua nakuheshim sana ila hapa naanza kukushusha majority of your post its as if unapersonal vendetta au grudge against CLOUDS MEDIA GROUP....grow up au mpe mtaji mkeo tuone atakavyokua malkia wa Mungu...tujifunze kuheshim vyetu na huo ndo uzalendo kamili tusiwe kama KAA
 
hata huko kanisani unajua kuna shuhuda zingine zina "chumvi" 80%
 
Hahaha, wa tz bana ,namsifu kwa script nzuri mkuu

Week end njema

Kwenda huko ' Mnafiki ' mkubwa na Mtu uliyejawa na Roho Mbaya na Husuda kwa Wenzako. Uzi unazungumzia hawa Wanawake na ' Fiksi ' zao Wewe unakuja kuanza kumshambulia Mtangazaji Siza unataka tukueleweje? au Mtani wangu wa Kihaya ' alikutambalizia ' nao na hakukumalizia Salio? Hata umkashifu vipi ila narudia tena kusema Siza ni mmoja wa Watangazaji mahiri ninaowapenda na kuwakubali mno kwa sasa Tanzania na yule mwenzake wa Startv Aloyce Nyanda.
 

Foolish.
 
kanisani pia nakukatalia, huwa nastaajabu shuhuda za kwa mzee wa upaka, mwanamke anasema, "mwaka jana sikua na gari, baada ya kuanza kuja kanisani na kupata upako, sa ivi nina gari langu, lipo hapo nje"
Sasa unajiuliza kwanini huwa hawaelezee walifanyaje, hupati jibu.
 
Mkuu Wabongo hata usimulie vipi hawawezi kuamini!
mfano halisi upo humu humu jukwaani kwa kijana mwenzetu ONTARIO walimshambulia weeee hata kwa mambo ya kawaida tu ambayo yanahitaji mjadala wa kawaida kwa watu wanaohitaji kusonga mbele!

Mpaka ameacha kabisa kuanzisha mada humu #Jf ila ukiangalia hakuna tatizo lolote kubwa la kufanya ashambuliwe namna ile!

Ingawa ni kweli wapo ambao wamesaidiwa kwa namna moja au nyingine na wenzi wao!.....
 
unajua hamna mtu anayeweza sogea bila msaada in one way or the other..kikubwa ni je kamaintain? na hilo swala ni dunia nzima..ila unakuta jitu sijui lina stress na kufeli kwa maisha yake basi kutwa kuandika thread halafu mbaya zaidi za kumdiss mwanamke...pathetic...unaweza pewa hata million 100 ila kama huna spirit ya ujasiliamali wiki tu zinaisha...muulizeni idris sijui
 
Ni kweli Mkuu!
Nimependa hapo juu umemuuliza alimpa shilingi ngapi mkewe na ametengeza shilingi ngapi?
ameishia kupovuka tu.... [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…