mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Je angepewa 100% ungesemaje?! Tatizo wabongo kama kitu hatukiungi mkono tunajitahidi kutumia nguvu kubwa kubadili maana badala ya kutoa hoja za msingi. Hata hivyo hizi kelele hazina maana sasa hivi. Tufanye kazi.Duh!
Tuambie nini kimefanyika?
50% ni yanini sasa ?
Je angepewa 100% ungesemaje?! Tatizo wabongo kama kitu hatukiungi mkono tunajitahidi kutumia nguvu kubwa kubadili maana badala ya kutoa hoja za msingi. Hata hivyo hizi kelele hazina maana sasa hivi. Tufanye kazi.
Then 2017 Simba inavuliwa ubingwa na timu ya daraja la pili.Tumeitoa timu ya Misri ikiwa bingwa 2003 au wewe unaongelea nini?hafu acha unafiki ww sio simba,ujinga wako peleka kwenu
Huyu ni mwanasimba kindakindaki, asiemjua ndiyo anayehoji, Ila sisi tunaomujua wala hatuna mashaka n'a hoja zake.Tumeitoa timu ya Misri ikiwa bingwa 2003 au wewe unaongelea nini?hafu acha unafiki ww sio simba,ujinga wako peleka kwenu
Na hii imetokea mara tu baada ya kumuuzia Mo timu !Then 2017 Simba inavuliwa ubingwa na timu ya daraja la pili.
Very interesting.....
Tatizo we ni ukawa,roho ya kupinga kila kitu bado ibakusumbua. Iko siku utapinga mpaka jina lako
Mkuu hakuna hoja ya kujibu hapo, mo ni mfanyabiashara kaja simba kufanya biashara na anawaeleza wazi kuwa timu itafaidika vipi na yeye atafaidika vipi mambo ya kutoa pesa za bure sasahivi hakuna, acha mambo yaendeshwe kisasa mkuu
Mo kafanikiwa kumwondoa Omog. Own goal ya kwanza hiyo
Hamalizi mwaka, ataiuza Simba kama Mbagala Market au Singida UnitedKama mbagala market ndo alivyoanza
Hamalizi mwaka, ataiuza Simba kama Mbagala Market au Singida United
Simba ikiuzwa patachimbika ! Hatutakubali !Hamalizi mwaka, ataiuza Simba kama Mbagala Market au Singida United
Mkuu, mjiandae kisaikologia kwa hilo. Hisa ni bidhaa. Inaweza kuuza muda wowote mwenyewe hisa zake akiamua. Hakuna wa kuzuia.Simba ikiuzwa patachimbika ! Hatutakubali !
Simba ikiuzwa patachimbika ! Hatutakubali !
Ajaribu aone , malengo ya kumpa simba hayakuwa ya kuifanyia biashara , yalikuwa ya kuiendeleza tu baaaasi !Hukubali wewe na nani kwani kwenye mkataba kuna kipengele kinachosema asimuuzie mtu mwingine mali yake!