Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

Kawaida tu, akitoka washroom anakuta nishaiweka yeye ni kuvaa tu.
 
Ukikosa kazi za kufanya za maana kila kazi utaona inafaa uifanye wewe.

Ndiyo maana mnashinda jikoni mmechafuka masizi eti mnaita mahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…