Nawauliza wanaume: Umeshawahi kumuwekea mpenzi wako pedi kwenye pant yake? ilikuaje?

Kazi nlizo wai fanya ni kufunga nepi mtoto, kumuosha na kumpaka mafuta, pedi najua kuweka kwenye kyupi vizuri tu skufundishwa na mtu zaidi ya youtube na nlikua naona babe anaweka nkajaribu sku moja akanikosoa mpaka nkaweza

Mbali na apo uwa namsaidia kupika mara moja moja, kuchemsha maji ya kunywa na kipindi niko mkoa kulikua na shida ya maji nlikua namsaidia chota maji , simetimes anaenda hemea vitu nabaki na mtoto nabembeleza mpk alale n akiamka nampozea uji na mpa

Kunasiku nyingine namnyoa vuzi uko bafuni, na sehemu nyingine
For somehow na enjoy life langu na yeye anafurahia uwepo wangu coz kumezoea maisha yetu kuna kipindi dogo tulimpeleka kwa bibi yake alikua anamtaka so tukawa tunashinda ghetto uchi kuanzia asubui mpk jioni Especially siku za wiki apo ni full kugegedana , kucheza mziki , kunywa yaani mzuka ukipanda ata jikoni tunakulana ukweli naenjoy ili life sana coz anajua mipaka yake na mimi najua yangu na yeye pia kuna mengi ananisaidia kama kazi za ofisini , kuninyoa vuzi langu, sometimes massage, kuniosha, ninapokua naenda kwenye mishe zangu anawai kunichagulia nguo atanichana na kunichagulia spray nzuri

babe anamarafiki ila hauwezi mkuta anatoa aya mambo nje coz yeye mwenyewe anaogopa wanawake wenzie wasije kunila kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23]

NB MKIPENDANA KILA KITU KATIKA MAISHA KINAKUA KAWAIDA TU


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Seriousn unapata na muda wa kumvalisha jitu zima pedi .


Hayo sio mapenzi ni "ubwegemtozeni" au "undondocha

Naweze mnunulia ila sio kumvalisha
mpenzi wako akimwa huwezi msaidia wewe si eti?
 
Kuna makampuni yanatengeneza pedi za Wanaume nilisikia somewhere BF SUMA wanazo japo sijajua zinatumikaje na nyakati gani🤷‍♂️
ni kwa ajili ya wale wenye matatizo ya kiafya walio paralyse na wanaotoa haja hapo hapo
 
Dadekiii tupe location anapofanyia kazi siku mmoja moja sio mbaya kumtembelea shemeji na kumjulia hali


Na kumpa nasaa na kumuombea

Mimi pia ni mtumishi ka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo nukuu umetufunga zaidi wanaume

Ni kama inamaanisha hizo kazi za kupika, kufua nk ni zetu ila tukibanwa ndio tusaidiwe

Nasikia hata mafundisho ya kiislamu yanasema hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…