Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena fika ikulu umwambie jinsi unavyotaka ainue nia njema yake kwa taifa na autumie uamiri jeshi mkuu wake ipasavyoNdio maana tunamwambia Mama, kamwe asisikilize kauli za kumkatisha tamaa, asibabaike wala asikubali kuyumbishwa na wanafiki wachache.
Yeye kama Amiri Jeshi mkuu wa Taifa letu lazima awe na msimamo imara kwa masilahi ya watanzania walio wengi, hizo kelele zingine hazina nia njema kwenye uongozi wake zaidi wanataka akwame.
Tena haka kamaza kanaweza kuwafadhili waje kuwaua wasioitaka dini yake. Kanafiki sana hakaMimi sina dini? Acha nicheke kwanza kwa vile nakuelewa misimamo yako na uelewa wako.
Member yeyote wa Boko haram, Alshabab na makundi ya aina hiyo dini kwao sio nyingine zaidi ya ya kwao. Wako radhi kumueliminate yeyote nje ya wanacho amini wao
Muislam mwenzako anayejielewa Prof Shivji leo naye kapinga limkataba la bandari
Mwendazake alikufa na miradi yake. Hawa wanaojitutumua hawataiweza. Wakijitahidi wataigawa kwa mwarabu aichukue milele kama walivyoanza kwenye bandari na mbuga za wanyama.Nawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Wakatoliki wangeshamwaga damuNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Umejibu kama anavyotaka au siyo!?Wakatoliki wangeshamwaga damu
Hapa hauna hoja kwani sgr ina shida gani au bwawa la NyerereNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Fly over, daraja kigamboni n.kMradi upi ambao haukuchelewa wakati yeye yupo?
Upi ulichelewa bila mtu kuwajibishwa?Mradi upi ambao haukuchelewa wakati yeye yupo?
Unamsema mwendazake kaka, ya meendazake niya meendazake ya sasa ni ya sasaNawaza ingekuwa Mama Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR na Waturuki na Mkataba wa bwawa la kufulia umeme na Waarabu wa Misri. Pangetosha kweli?
Hivi tuliahidiwa na mwendazake Umeme wa bwawa la Steigler utaanza kufuliwa lini? Na SGR ya kwenda Morogoro ilitakiwa ianze lini?
Bandari haijauzwa na haitauzwa popoteHiyo ni miradi ya watanzania hakuuziwa mwarabu
Viroja hivyo baada ya kushindwa hoja. Nafahamu mada iimekuwa ngumu kwenu kwa chuki na mioyo kuwauma mnaipeleka kwenye dini.Mimi sina dini? Acha nicheke kwanza kwa vile nakuelewa misimamo yako na uelewa wako.
Member yeyote wa Boko haram, Alshabab na makundi ya aina hiyo dini kwao sio nyingine zaidi ya ya kwao. Wako radhi kumueliminate yeyote nje ya wanacho amini wao
Makinikia haikuchukuliwa ya zanzibar, tuache tupambane na mali zetu watanganyika!! Iwe bandari au makinikia vyote vikichukuliwa hupati hasara ww, kikubwa utafaidi mgao wa kuja huko kwenuhaawalioni hilo.
Makinikia hayo yakapanda meli yakaondoka. Yamepita hapo hapo bandarini au ndicho kinachoogopwa, yatabunburuka?
Sawa! Kwan kikwete mzanzibar? Watanganyika haoHiyo yote miradi ya Kikwete. Yeye aliibadilisha majina tu.