Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Acha ujinga, waturuki waislam wakimaliza kujenga reli wanasepa zao usiwalinganishe wale waarabu waislam na mkataba wa bandari haijulikani wataondoka lini kama si mkataba wa maisha
 
Tena fika ikulu umwambie jinsi unavyotaka ainue nia njema yake kwa taifa na autumie uamiri jeshi mkuu wake ipasavyo
 
Mimi sina dini? Acha nicheke kwanza kwa vile nakuelewa misimamo yako na uelewa wako.
Member yeyote wa Boko haram, Alshabab na makundi ya aina hiyo dini kwao sio nyingine zaidi ya ya kwao. Wako radhi kumueliminate yeyote nje ya wanacho amini wao
Tena haka kamaza kanaweza kuwafadhili waje kuwaua wasioitaka dini yake. Kanafiki sana haka
 
Muislam mwenzako anayejielewa Prof Shivji leo naye kapinga limkataba la bandari

Kwani umeona kuna mtu yeyote, awe muislam au mkristo, ambaye ana akili na upeo mpana, anayeunga mkono mkataba wa kishenzi wa bandari? Sidhani kama tatizo ni dini. Tatizo kubwa lipo kwenye akili, upeo na uadilifu wa nafsi.

Wanaoukubali ule mkataba ama ni wenye uwezo mdogo wa akili, au upeo duni au watu wanafiki na waliokula rushwa. Ndiyo maana kwenye makundi yote mawili wapo wa dini zote. Na hata viongozi wa dini nao wamegawanyika katika hayo hayo.

Ndiyo maana unawaona akina Chongolo, Kitila, Mbarawa, Musukuma, Zito, Mzee wa upako, Shekhe Mwaipopo na wengine, wanatetea huo mkataba. Ni watu wa dini tofauti lakini wote wanaunganishwa na "uwezo mdogo wa akili, au upeo duni au watu wanafiki na waliokula rushwa".
 
Mwendazake alikufa na miradi yake. Hawa wanaojitutumua hawataiweza. Wakijitahidi wataigawa kwa mwarabu aichukue milele kama walivyoanza kwenye bandari na mbuga za wanyama.
 
Wakatoliki wangeshamwaga damu
 
Hapa hauna hoja kwani sgr ina shida gani au bwawa la Nyerere
 
Unamsema mwendazake kaka, ya meendazake niya meendazake ya sasa ni ya sasa
 
Mimi sina dini? Acha nicheke kwanza kwa vile nakuelewa misimamo yako na uelewa wako.
Member yeyote wa Boko haram, Alshabab na makundi ya aina hiyo dini kwao sio nyingine zaidi ya ya kwao. Wako radhi kumueliminate yeyote nje ya wanacho amini wao
Viroja hivyo baada ya kushindwa hoja. Nafahamu mada iimekuwa ngumu kwenu kwa chuki na mioyo kuwauma mnaipeleka kwenye dini.
 
haawalioni hilo.

Makinikia hayo yakapanda meli yakaondoka. Yamepita hapo hapo bandarini au ndicho kinachoogopwa, yatabunburuka?
Makinikia haikuchukuliwa ya zanzibar, tuache tupambane na mali zetu watanganyika!! Iwe bandari au makinikia vyote vikichukuliwa hupati hasara ww, kikubwa utafaidi mgao wa kuja huko kwenu
 
Hapa hauna hoja kwani sgr ina shida gani au bwawa la Nyerere
Muda wa mradi ndilo lilikuwa linaongelewa kwenye post uliyokurupuka kuijibu. Fata post imejibu nini, utaielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…