Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)

BM X6

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2020
Posts
1,376
Reaction score
4,222
Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi

So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa mazuri sana na ni cheap lakin Tz maziwa pia ni mazuri lakin ni expensive sana sijui hii ndio inasabaisha watu hawakunywi maziwa kwa wingi Tz, coz pack ya 500 ml Tz inafika Hadi 2500 Tsh /= (kwa bei ya Singida) wakati Kenya maziwa yenye ujazo huo huo yanauzwa Ksh50/= sawa na elfu moja ya Tz (Tsh1000/=)

Hili jambo limenifanya niwaze kufanya Biashara ya maziwa ya Brookside niwe nayatoa Kenya na kuleta Tanzania, ila Kabla sijachukua uamuzi huo nimeona nilete huu mjadala hapa at least nipate ushauri na maoni kutoa kwa wadau

Asanteni

Dairy-best-500ml-1200-by-481-768x538.jpg
Farm-Fresh-Lala-1200-by-481-1-768x538.jpg
Full-Cream-768x538.jpg
 
Wazo zuri, lakini wazia kodi mpakani. Ulizia upate uhakika wanachaji kodi kiasi gani kwa lita kwa maziwa toka Kenya
 
Ni wazi zuri ila wabongo wengi huwa hawapendi maziwa yaliyofungashwa na kuwekewe presevatives.
Wengi wao ni wanawake wanaonunua maziwa kwa ajili ya watoto wachanga hawataki hayo ya box kabisa.
Kwa hiyo wapo wengi tu wanaouza maziwa freshi huku mitaani.
 
Maziwa aina/chapa ya BROOKSIDE yalishawahi kuuzwa nchini miaka ya nyuma but sijui ni kipi kilipelekea uuzwaji huo kusitishwa/kutoendelea.
 
Haya ni maziwa ya mzee mzima Kenyata kipindi cha magufuli yalipigwa marufuku ili kuwapa platform akina Asas,Bkharesa ,Kilimanjaro,Tanga fresh na wengine.Maajabu ni kuwa haya maziwa yananunuliwa Longido yanasafirishwa hadi kenya wanayapack then tunarudishiwa tunauziwa bei juu.
 
Duh! Wakenya wajanja sana asee
 
Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi

So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa mazuri sana na ni cheap lakin Tz maziwa pia ni mazuri lakin ni expensive sana sijui hii ndio inasabaisha watu hawakunywi maziwa kwa wingi Tz, coz pack ya 500 ml Tz inafika Hadi 2500 Tsh /= (kwa bei ya Singida) wakati Kenya maziwa yenye ujazo huo huo yanauzwa Ksh50/= sawa na elfu moja ya Tz (Tsh1000/=)

Hili jambo limenifanya niwaze kufanya Biashara ya maziwa ya Brookside niwe nayatoa Kenya na kuleta Tanzania, ila Kabla sijachukua uamuzi huo nimeona nilete huu mjadala hapa at least nipate ushauri na maoni kutoa kwa wadau

AsanteniView attachment 1926289View attachment 1926291View attachment 1926292
Ina maana Tz hakuna maziwa mpaka utuletee ya kenya?
 
Utapitishia wapi mkuu?

Hyo kitu ilkula ban ili kuruhusu viwanda vya ndani vipige kazi ukiona umeweza kuleta bongo Basi chukua soda kauze Kenya hapo utapiga pesa kinyama
 
Haya ni maziwa ya mzee mzima Kenyata kipindi cha magufuli yalipigwa marufuku ili kuwapa platform akina Asas,Bkharesa ,Kilimanjaro,Tanga fresh na wengine.Maajabu ni kuwa haya maziwa yananunuliwa Longido yanasafirishwa hadi kenya wanayapack then tunarudishiwa tunauziwa bei juu.
Kwa hio Maziwa wanayo pack yanatoka tu Longido? Sema wamasai wa Longido wana penyeza kwa wamasai wenzao wa upande wa Kenya wanawasaidia kuuza,
 
Maziwa mbona naweza kupita nayo border fresh bila wasiwasi

Kuhusu soda pia huku zipo ila utofauti ni chupa, chupa zao za coke ni tofauti na za bongo.
 
Kwahyo ukishikwa na haya maziwa upande wa Tz ni kesi tayar? Au kwasasa haina shida kwakuwa mzee Baba aliaga
 
Kiujumla mama ntilie ni wengi kwa hiyo Watanzania wanatumia maziwa fresh kuliko yaliyosindikwa wakati jirani zetu kila kitu kama ulaya lazima ufanye packaging upeleke supermarket. Kwa hiyo ukianza kutafuta takwimu za maziwa inaonekana waTZ hawanywi maziwa kumbe wamehesabu Tanga Fresh na wasindikaji wengine wameuza kiasi gani bila kujumuisha yaliyoenda kwa mama ntilie..
 
Lakin pamoja na wingi wa mama ntilie wa huko mbona wengi wao hawapiki chai ya maziwa basi, ni vibanda vichache sana utakutana na chai ya maziwa ukilinganisha na Kenya chai ya maziwa ndio wanayotumia, ya rangi ni mpaka utoe oda
 
Maziwa mbona naweza kupita nayo border fresh bila wasiwasi

Kuhusu soda pia huku zipo ila utofauti ni chupa, chupa zao za coke ni tofauti na za bongo.
Maziwa kuingia tz n inshu Kuna watu huwa wanapita nayo pale kwa kuyaficha ilihali mizigo mingine wanalipia Kodi Kama kawaida.

Soda Kenya zipo Ila ujazo kidogo bei Mara mbili ya ujazo wa huku kwa chupa moja mfano huku 200ml za Coca-Cola kwanza, Nyanza bottling & Bonnite bottles unanunua wholesale around Tsh 350/= Hadi 400/= (Ksn 16 -20) Wakati chupa ya Kenya nafkir n 250ml unanunua wholesale around Ksh 40-45 (Tsh 848-920)
 
Halafu sio maziwa tu, bidhaa nyingi za kenya zina ubora mkubwa, chukulia sabuni ya jamaa sijaona sabuni Tanzania ya kuipita hiyo sabuni ubora , haya njoo maziwa kenya bei ndogo lakini ubora wa kueleweka sijui viwanda Bongo vinakwama wapi,
 
Kwa hio Maziwa wanayo pack yanatoka tu Longido? Sema wamasai wa Longido wana penyeza kwa wamasai wenzao wa upande wa Kenya wanawasaidia kuuza,
No hii tenda ilikuwa ya lowasa anakusanya anamuuzia Kenyata mlolongo ni mrefu.Iliyokuwa inakusanya ilikuwa kampuni ya lowasa kwa wamasai wenziwe.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom