BM X6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2020
- 1,376
- 4,222
Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi
So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa mazuri sana na ni cheap lakin Tz maziwa pia ni mazuri lakin ni expensive sana sijui hii ndio inasabaisha watu hawakunywi maziwa kwa wingi Tz, coz pack ya 500 ml Tz inafika Hadi 2500 Tsh /= (kwa bei ya Singida) wakati Kenya maziwa yenye ujazo huo huo yanauzwa Ksh50/= sawa na elfu moja ya Tz (Tsh1000/=)
Hili jambo limenifanya niwaze kufanya Biashara ya maziwa ya Brookside niwe nayatoa Kenya na kuleta Tanzania, ila Kabla sijachukua uamuzi huo nimeona nilete huu mjadala hapa at least nipate ushauri na maoni kutoa kwa wadau
Asanteni