Nawaza kufungua kampuni ya kilimo ili wanaotaka kulima walime bila kuingia shamba

Cleopatrasat

Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
11
Reaction score
1
Watu wangu wengi wa karibu ni wafanyakazi katika makampuni hapa Dar es salaam lakini wanapenda sana kujihusisha katika kilimo, kutokana na kazi kuwabana na uaminifu mdogo kati ya ndugu au rafiki katika pesa wengi wao wameshindwa kuwekeza kwenye kilimo kuhofia usimamizi wake utakua mdogo sana au kusiwe na usimamizi kabisa na hata utapeli na uaminifu mdogo kutoka kwa wale watakaokuwa wanasimamia.

Hii ikanifanya nichunguze hata kwa watu wengine nje ya wale ninaowafahamu na kugundua hili ni tatizo la watu wengi, hapo nikapata namna nzuri ya kutatua changamoto hii.

Nikaona kuna uwezekano mkubwa kuanzisha kampuni itakayokua inajihusisha na kusimamia masuala ya kilimo ambapo watu watakua wakiwekeza pesa zao kwaajili ya kilimo lakini msimamizi mkuu ni kampuni hiyo nitakayo anzisha, uaminifu wa kutosha, kuajiri wafanyakazi mahiri na wachapakazi ambayo pia itasaidia kutoa ajira kwa vijana wengi, ushirikiano mzuri kati yangu na wawekezaji katika kila hatua ili wawe wakijua kila shughuli inayofanyika na matumizi ya njia zote bora za kilimo kuhakikisha faida ya wale waliowekeza inapatikana ndio vitu vikuu nilivofikiria katika kufanikisha hilo.

Naamini kupitia kampuni hii uwekezaji katika kilimo utaongezeka zaidi kwa sababu watu wengi watapata mahali wanapoamini pesa zao zitakua salama na utendaji kazi ni mzuri, hivyo sekta ya kilimo ikikua zaidi; kutakua hakuna tatizo la chakula nchini, biashara na masoko vitatanuka zaidi na watu wengi watajipatia ajira kwa kujiajiri na kuajiriwa.
 
Kuna vitu viwili tegemea kupata faida kubwa sana kupitia kuliza watu na kutokomea kusikojulikana au Kwenda jela kuwa dem wa nyampara.
Kilimo ingia kwa hela yako ili ikitokea LOSS uwe na uwezo wa kuhandle stress maana kilimo haizoeleki.
 
Ushawahi kulima?, unauzoefu gani ktk kilimo?
 
Hii kama deci,au KuKu farm,sio wazo geni,Kuna watu wanafanya kule Moro,wanalima mpunga,masharti yao ndio huniacha hoi,ukiwa mwanachama baada ya kuweka pesa zako,unatakiwa usaidie kuuza kilo kazaa kwa mwezi!yaani uwekeze pesa zako,harafu uifanyie hiyo bidhaa inayozalishwa matangazo kwa gharama zako nyingine nje ya pesa uliyowekeza,!
 
Ndugu nikukunbushe tu kuwa Kilimo kinahitaji soko, hapa penyewe tuna kila kitu ila tumekwama soko (Snow Peas) na kuamua kukaa pembeni. Nakupa hii kama Changamoto
 
Watu wangu wengi wa karibu ni wafanyakazi katika makampuni hapa Dar es salaam lakini wanapenda sana kujihusisha katika kilimo, kutokana na kazi kuwabana na uaminifu mdogo kati ya ndugu au rafiki katika pesa wengi wao wameshindwa kuwekeza kwenye kilimo kuhofia usimamizi wake utakua mdogo sana au kusiwe na usimamizi kabisa na hata utapeli na uaminifu mdogo kutoka kwa wale watakaokuwa wanasimamia.

Hii ikanifanya nichunguze hata kwa watu wengine nje ya wale ninaowafahamu na kugundua hili ni tatizo la watu wengi, hapo nikapata namna nzuri ya kutatua changamoto hii.

Nikaona kuna uwezekano mkubwa kuanzisha kampuni itakayokua inajihusisha na kusimamia masuala ya kilimo ambapo watu watakua wakiwekeza pesa zao kwaajili ya kilimo lakini msimamizi mkuu ni kampuni hiyo nitakayo anzisha, uaminifu wa kutosha, kuajiri wafanyakazi mahiri na wachapakazi ambayo pia itasaidia kutoa ajira kwa vijana wengi, ushirikiano mzuri kati yangu na wawekezaji katika kila hatua ili wawe wakijua kila shughuli inayofanyika na matumizi ya njia zote bora za kilimo kuhakikisha faida ya wale waliowekeza inapatikana ndio vitu vikuu nilivofikiria katika kufanikisha hilo.

Naamini kupitia kampuni hii uwekezaji katika kilimo utaongezeka zaidi kwa sababu watu wengi watapata mahali wanapoamini pesa zao zitakua salama na utendaji kazi ni mzuri, hivyo sekta ya kilimo ikikua zaidi; kutakua hakuna tatizo la chakula nchini, biashara na masoko vitatanuka zaidi na watu wengi watajipatia ajira kwa kujiajiri na kuajiriwa.
Wazo zuri na ukiangalia kwa kina kinachohitajika ni strategies, ukizungumzia company inahusisha hisa za members hii innamaanisha mtaji lazima ujitosheleze,

Kwakua company ni mkusanyiko wa watu mbali mbali tunategemea kuona uwanada wa masoko unatanuka hatulimi ili tuishie kuwategemea madalali, bali tunafungua njia za masoko hata nje kwa majirani zetu, usafirishaji wa bidhaa, zaidi zaidi kuongeza thamani katika bidhaa zetu.

Anaesema kilimo hakizoeleki, aseme biashara gani inayozoeleka tofauti na ajira ya serikali maana hata biashara ni kisanga, kwa mfano kipindi hiki bei za bidhaa zimepanda, mama lishe hatupat faida unga kg 2000 mafuta yalipanda mpaka 7000 saa hz wameshusha mpaka 5000 lakini hailipi kwa wakaanga Mandazi,sambusa hata chapatis.

Hapo Nyuma biashara Olivia ngumu mzunguko wa pesa uko chini.

Kilimo cha uhakika ni cha umwagiliaji FULL STOP.
 
Umeongea jambo Ka msingi sana ,changamoto zipo kila kona , risk takers ndio hufanikiwa watu wamekalia loss loss ,loss zipo kila kona
 
Kuna vitu viwili tegemea kupata faida kubwa sana kupitia kuliza watu na kutokomea kusikojulikana au Kwenda jela kuwa dem wa nyampara.
Kilimo ingia kwa hela yako ili ikitokea LOSS uwe na uwezo wa kuhandle stress maana kilimo haizoeleki.
Kwani akili zangu ni zako?? Kwasababu wewe utatokomea kusipojulikana basi na miminifanye hivo
 
Hii kama deci,au KuKu farm,sio wazo geni,Kuna watu wanafanya kule Moro,wanalima mpunga,masharti yao ndio huniacha hoi,ukiwa mwanachama baada ya kuweka pesa zako,unatakiwa usaidie kuuza kilo kazaa kwa mwezi!yaani uwekeze pesa zako,harafu uifanyie hiyo bidhaa inayozalishwa matangazo kwa gharama zako nyingine nje ya pesa uliyowekeza,!
Linaweza kuwa sio geni likawa na mbinu tofauti na wanazotumia wao ,wao wanayo masharti yanayokuacha hoi mie naweza nisiwe na hayo masharti nikatumia njia tofauti kufanikisha ninachotaka kufanya
 
Kuna vitu viwili tegemea kupata faida kubwa sana kupitia kuliza watu na kutokomea kusikojulikana au Kwenda jela kuwa dem wa nyampara.
Kilimo ingia kwa hela yako ili ikitokea LOSS uwe na uwezo wa kuhandle stress maana kilimo haizoeleki.
Risk takers wanafanikiwa sana lakini wewe akili imelala hivo usitegemee kutoboa 😂.
 
Linaweza kuwa sio geni likawa na mbinu tofauti na wanazotumia wao ,wao wanayo masharti yanayokuacha hoi mie naweza nisiwe na hayo masharti nikatumia njia tofauti kufanikisha ninachotaka kufanya

Bila ayo masharti huwezi kupata faida. Au wewe unategemea kampuni yako isipate faida?..

Masharti ndio faida
 
Kwani akili zangu ni zako?? Kwasababu wewe utatokomea kusipojulikana basi na miminifanye hivo
Kilimo hakina mjanja kuna kampuni ina wataalam wa kilimo mpaka wa nje ya nchi South Africa, india ukiachana na vijana kibao wa SUA lakn mwaka huu wamefeli vibaya mno.
 
Ndio maana amekupa option mbili either utokomee na hela za watu au uwatie watu hasara wakushitaki uende jela.
Kati ya hizi 2 mojawapo lazima kitokee.
Maana kilimo cha Tanzania ni cha kubahatisha utajiamini vipi kukiendesha kwa hela za watu wengine.
 
Kuanguka kupo kila sehemu dia. Lazima mtu ujiandae kupanda na kushuka,nafikiri sio kikwazo kwangu kwasababu wao wamefeli lakini wapo wanaofurahia kilimo,hivyo ni kujiandaa kwa lolote tuu
 
Ndio maana amekupa option mbili either utokomee na hela za watu au uwatie watu hasara wakushitaki uende jela.
Kati ya hizi 2 mojawapo lazima kitokee.
Maana kilimo cha Tanzania ni cha kubahatisha utajiamini vipi kukiendesha kwa hela za watu wengine.
Kwanini mawazo hasi tuu??? Kwenye mabenki ni pesa za kina nani zipo?? Huo ni uwekezaji kama uwekezaji mwingine watu wangefikiria hizo akili zenu wasingekua wakiwekeza.😂
 
Back
Top Bottom