Cleopatrasat
Member
- Jul 19, 2022
- 11
- 1
- Thread starter
- #21
Nakuelewa lakini pia nakupinga,masharti sio lazima yawe kama Yao mi naweza kutumia njia mbadala kujipatia faida yangu.Bila ayo masharti huwezi kupata faida. Au wewe unategemea kampuni yako isipate faida?..
Masharti ndio faida