C Cleopatrasat Member Joined Jul 19, 2022 Posts 11 Reaction score 1 Aug 12, 2022 Thread starter #21 Tajiri Kichwa said: Bila ayo masharti huwezi kupata faida. Au wewe unategemea kampuni yako isipate faida?.. Masharti ndio faida Click to expand... Nakuelewa lakini pia nakupinga,masharti sio lazima yawe kama Yao mi naweza kutumia njia mbadala kujipatia faida yangu.
Tajiri Kichwa said: Bila ayo masharti huwezi kupata faida. Au wewe unategemea kampuni yako isipate faida?.. Masharti ndio faida Click to expand... Nakuelewa lakini pia nakupinga,masharti sio lazima yawe kama Yao mi naweza kutumia njia mbadala kujipatia faida yangu.
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Aug 12, 2022 #22 Fanyia kazi wazo lako. #MaendeleoHayanaChama