jangos
JF-Expert Member
- Dec 20, 2023
- 208
- 231
Habari
Mimi sio muandishi mzuri lakini nitaelezea kama ilivyo. Umri wangu bdo 20s lakini napitia depression Yaani msongo wa mawazo.
Sina mtoto na sijui kama nitakua nae maana hamna demu ananitaka maybe jinsi nilivyo and love is only thing make life worth living... Inafikia hatua nawaonea wivu wanaokufa naona Bora ningekua Mimi...
Nimechoka kuishi na kujiua siwezi maana nimekulia kwenye dini....nawaza nimekosea wapi au ni laana, kama Kuna mtu aliwahi kupitia Hali kama yangu aniambie aliwezaje ku survive. Nahitaji ushauri🙏